Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kumbe eeh ,safi sanaNaaanisha single kama single ndan ya jf na nje ya jf
Comments zinaleta raha ,nipo kwa mangi napiga ugimbi huku nasoma walio singlenasoma tu comments
Comments zinaleta raha ,nipo kwa mangi napiga ugimbi huku nasoma walio single
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...!Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda [emoji38]
Meku leo unapigia ulanzi wapi?Comments zinaleta raha ,nipo kwa mangi napiga ugimbi huku nasoma walio single
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha sasa tujue tatizo liko wapi
Lazima tuanze na mzizi wa tatizo ili kuweza kulisolve
mi tatizo langu nalijua[emoji3059] ni kuchelewa kukufahamu
Loh![emoji16]
Meku niko kitaani ununio huku,ugimbi mixer kampeni nyumba kwa nyumbaMeku leo unapigia ulanzi wapi?
Hahahaha, acha tu tukwamehahaha mkuu unatuchora sisi ma single[emoji23]
ila sijui tunakwama wapi
Mkuu Tuko uchumi wa Kati ,wewe Bado uko single kweli?Nini tatizo?
Vema sana..! Karibu Arusha mkuu..Meku niko kitaani ununio huku,ugimbi mixer kampeni nyumba kwa nyumba
Hahahah Chemistry yenu ya sikuhizi si hela tu! Ubaya kila mwanamke anataka mwanaume mwenye hela matokeo yake Demand ni kubwa kuliko supply mnaanza kugombania ukuni sasa. Mnapangwa foleni 🤣🤣🤣
Mkuu Tuko uchumi wa Kati ,wewe Bado uko single kweli?Nini tatizo?
Kwa hiyo chanzo Cha wewe kuwa single ni CCM?[emoji23]mkuu,ndio maana Chadema wanataka maendeleo ya watu sio vitu,yani nchi inapiga hatua ila mimi sipati jiko
Kwa hiyo chanzo Cha wewe kuwa single ni CCM?