Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Tatizo ni kuomba omba hela tu! Matokeo yake unajiegamiza kwa waume za watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Si nyie ndo mnasema dunian wanaume ni wachache wanawake ni wengi sasa achen tu tubanane
 
Huu uzi ni wa masingle. Sasa nyie wadada mnaokoment humu halafu tukiwafata PM hamtujibu mna maana gani?
 
Back
Top Bottom