Naitaji mwanaume mchamungu basi sina mbwembwe iko ndo kigezo changu kikuu vingine vingine ata akikosa fresh tuLinahbaby, mwanaume unayemtaka awe husband unataka awe na sifa zipi?
Na wewe naomba utaje sifa zako pamoja na umri wako. Uongee ukweli kabisa ili tuweze kukusaidia.
Dah![emoji23]Naitaji mwanaume mchamungu basi sina mbwembwe iko ndo kigezo changu kikuu vingine vingine ata akikosa fresh tu
Yani hadi ndani ya moyo tutakuwa tunaimba tenzi za rohoni mpaka utapenda[emoji4]Hahahaah[emoji23]ulokole wa ndan ya moyo sio juu juu tu
Tutasoma Zaburi tutafunga na kuomba Quaresma na Tutaweka nadhiri tuijenge na tutoe dhaka na sadaka hata tufike maka sawa tu..Hahahahah
Tunawafariji hatuwezi kuwaacha wenyewe[emoji23]pale tulio single tunavyo ingiliwa kwenye mjadala wetu
Wamevurugwa
Walah tena jimbo lipo wazi hili halina ata mwezi
Naitaji mwanaume mchamungu basi sina mbwembwe iko ndo kigezo changu kikuu vingine vingine ata akikosa fresh tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe na SHIMBA YA BUYENZE mkiwa singo na muwe tu.
Nini tena!!?[emoji848][emoji848][emoji23]Weee
HakunaNini tena!!?[emoji848][emoji848][emoji23]
It's understandable lakini.NIKO SINGLE Na sitaraji kuingia kwenye mahusiano
Mmmh [emoji39]Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda [emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kuna muda nawaza wewe ni ndugu yangu kweli!?? Au mama alibadilishiwa mtoto hospital!!?