Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Naitaji mwanaume mchamungu basi sina mbwembwe iko ndo kigezo changu kikuu vingine vingine ata akikosa fresh tu

Sawa Linahbaby, mimi niko vizuri sana kiuchumi. Pia ni mtu ana utu na kujali wengine. Nahitaji mdada mchapa kazi sana, asiye na mtoto, na ambaye ana shape ya kujitunza.

Pia mwaminifu sana, na anayejua ku-care mwanaume. Kama una hizo sifa tuwasiliane.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee kuna muda nawaza wewe ni ndugu yangu kweli!?? Au mama alibadilishiwa mtoto hospital!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nyie wawili siwaelewi elewi. Nitamuuliza mama vizuri. Nahisi nesi alifanya yake.
 
Back
Top Bottom