Babe[emoji849][emoji849][emoji849]Mmmh [emoji39]
Mvumilivu hula mbinu nipo kwenye foleni😀😀Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda 😆
Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174]
mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tuView attachment 1561737
nakuja bila kuchelewaNasubiri mdada wa kwanza kulike hii comment nimuendee inbox, nshachoka na baridi
Kukosa soko hiyo vipi ?MWANAUME kuwa single ni maamuzi. Ila MWANAMKE kuwa single ni kukosa soko.
Imeisha hiyo[emoji3]
[emoji23][emoji23]Huko pm utakoma[emoji2][emoji2]
Ila na mwanamke ukiona unatongozwa sana ujue your a cheap merchandize[emoji23][emoji23]Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena
utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule ...
Kila kitu kwa mwanamke ni kibayaIla na mwanamke ukiona unatongozwa sana ujue your a cheap merchandize[emoji23][emoji23]
Mwanaume ukikubaliwa sana unanyota ya Platnumz
Sio kila kitu kibaya Ila wanaume ndo wanaumiaga kwenye mapenzi kuliko wanawakeKila kitu kwa mwanamke ni kibaya
Sio kila kitu kibaya Ila wanaume ndo wanaumiaga kwenye mapenzi kuliko wanawake
🙆♂️🙆♂️ wenye wapenzi waandike maumivu imekwisha hiyoooNot single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda 😆
GoodSio kila kitu kibaya Ila wanaume ndo wanaumiaga kwenye mapenzi kuliko wanawake
Ww uko single?😀Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena
utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule .
Babez!!Babe[emoji849][emoji849][emoji849]
Wallah ipo namna!!..Si bure nesi lazima alifanya yake ila si kwetu bali kwako [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nyie wawili siwaelewi elewi. Nitamuuliza mama vizuri. Nahisi nesi alifanya yake.
Mie copy ya baba naanzaje kuwa nilibadilishwa? Nyie ndio tatizo, maana hamfanani na mama wala baba.Wallah ipo namna!!..Si bure nesi lazima alifanya yake ila si kwetu bali kwako [emoji23][emoji23]
Wewe unatutafuta si bure[emoji848][emoji848]Mie copy ya baba naanzaje kuwa nilibadilishwa? Nyie ndio tatizo, maana hamfanani na mama wala baba.
Sent using Jamii Forums mobile app