Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

MWANAUME kuwa single ni maamuzi. Ila MWANAMKE kuwa single ni kukosa soko.

Imeisha hiyo[emoji3]
Kukosa soko hiyo vipi ?

Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule .
 
Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule ...
Ila na mwanamke ukiona unatongozwa sana ujue your a cheap merchandize[emoji23][emoji23]
Mwanaume ukikubaliwa sana unanyota ya Platnumz
 
Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda 😆
🙆‍♂️🙆‍♂️ wenye wapenzi waandike maumivu imekwisha hiyooo
 
Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule .
Ww uko single?😀
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nyie wawili siwaelewi elewi. Nitamuuliza mama vizuri. Nahisi nesi alifanya yake.
Wallah ipo namna!!..Si bure nesi lazima alifanya yake ila si kwetu bali kwako [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom