Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Kosa halitengenezi kosa bana[emoji11][emoji6]
Kuanza upya si ujinga
Duh njia ile ile aaah hapn ngoja nijaribu wanao vuka maji au wanao paa angani lkn waenda kwa magari ya zakaria ahhahahah hapana[emoji12][emoji12]
 
Kila mtu ana soko banah sema kupata ambaye chemistry yenu iko on fire ndo shida
Umeona eeeh kwa kweli kuna kazi sishangai wanao tembea na waume za watu uwa wanakosa pa kushika wanaume awaleweki kbsa mtu anaona bora ajichomeke tu hapo kwa mume watu siku ziende [emoji2]
 
Umeona eeeh kwa kweli kuna kazi sishangai wanao tembea na waume za watu uwa wanakosa pa kushika wanaume awaleweki kbsa mtu anaona bora ajichomeke tu hapo kwa mume watu siku ziende [emoji2]
Hapo kwenye kukosa pakushika ni uzembe[emoji28]....dawa ni kutafuta mnyonge wako anayekuelewa,hayo mambo ya wanaume za watu kwa control freak km mm siwez
 
Hivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Sijawahi elewa hii.
Nashangaa kabisa labda uoga, sasa kama sie wanaume totoz kibao kila kona ukikosa kazini basi mtaani au nenda cinemax au kwenye malls au vyuoni ijumaa unatega ukikosa kabisa kabisa vituo vya mwendo kasi vile vikubwa yaani weekend tatu hazifiki ushang'oa.
Wanawake wamejaa tele.

Note:
Wengi wao singles ni bahili especially sisi wa kiume.
 
Back
Top Bottom