Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174]

mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tuView attachment 1561737
Linahbaby, mwanaume unayemtaka awe husband unataka awe na sifa zipi?

Na wewe naomba utaje sifa zako pamoja na umri wako. Uongee ukweli kabisa ili tuweze kukusaidia.
 
Back
Top Bottom