Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Tongoza mademu wa class yako mzee baba, mwanamke ni mwanamke tu.Ndo hivyo Yan.
Mbaya zaidi mi nikipenda Napenda ile kweli, ila kila nikijaribu kuwaelewesha hawa viumbe (SIO kwa maneno tu mpaka kwa vitendo) hawanielewi naishia kuwa rejected naona labda Ni kwa vile Sina mvuto Wala ushawishi wa Aina yoyote kwa hawa viumbe.
Saivi nshachoka Sasa sitongozi Tena labda utokee muujiza akatokea mmoja anipende mwenyewe Kama nilivyo, na nahisi utakuwa ni muujiza wa karne!!
Usije kufa na utamu wako