TULIO SOMA AZA BOY, shame on us again!!!!!

TULIO SOMA AZA BOY, shame on us again!!!!!

Wale wanaendekeza mambo ya kijinga kama ubitozi na uhuni wa wanawake.
Mwanaume lazima ukomae hata kama utatoka na div III kwa pcm,pcb au kombi yoyote ya sayansi ni afadhali sana kuliko kutoka na div four au zero

Nothing is easier than blaming others for your own problems

Mkuu kidume kupiga duara niaibu sana labda kama wakatinwa maandalizi ulipata matatizo. kwa muanamume lazima ujitolee ujikane kwankupunguza anasa na starehe. Baadae sijui unawaambia nini watoto wako.
 
Hayo ni maoni yangu

Weka maoni yako tambaa mbele

Bashite anakuuma sana kisa nimemtaja

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo unapoonekana kilaza, kwa hiyo bashite ndo chanzo cha watoto kufeli?
Kweli ujinga ni kipaji.
Soma signature yangu hapo chini utaelewa kama ww ni mjinga kiasi gani.

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Mkuu imeshika tena mkia????

Ifanywe zahanati na kujifungulia kinamama khaa wanatuaibisha sana.
Ukiwauliza watakwambia zimebaki comb ngumu tu.
Nae bashite hajawai ata kuonesha juhudi zozote kukombomboa jahaz.
Alaf mbona toka kaingia madarakani mkoa umeshuka sana kitaaluma ata ukiangalia form 4 hali ilikua mbaya shule mbili zamwisho zimetoka dar

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aisee shule za siku hizi walimu hakuna kitu kabisa. Ndiyo wanafunzi wana part yao, ila waalimu wana part kubwa zaidi kuhakikisha ufaulu wa watoto.
Hujui usemalo.

Wanafunzi wazembe, wajuaji, wanaoshinda kwenye mitandao whatsup, instagram wakiangalia video za ngono usitegemee wataweza kufaulu...
 
Hapo ndipo unapoonekana kilaza, kwa hiyo bashite ndo chanzo cha watoto kufeli?
Kweli ujinga ni kipaji.
Soma signature yangu hapo chini utaelewa kama ww ni mjinga kiasi gani.

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Bashite ni lol model wa baadhi ya wanafunzi

Bashite ameifanya divion one kuonekana si lolote si chochote mbele ya zero

Kwani kupitia division yake zero aliyoipata na mbinu zake za kitaalam aliweza kufika chuo kikuu, na ameweza kufanya mambo chungumzima ya kustaajabisha jamii

Kwahyo sishangai kuona baadhi ya wanafunzi wakifeli kwa kufuata nyao za mkuu huyu wa mkoa

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Bashite ni lol model wa baadhi ya wanafunzi

Bashite ameifanya divion one kuonekana si lolote si chochote mbele ya zero

Kwani kupitia division yake zero aliyoipata na mbinu zake za kitaalam aliweza kufika chuo kikuu, na ameweza kufanya mambo chungumzima ya kustaajabisha jamii

Kwahyo sishangai kuona baadhi ya wanafunzi wakifeli kwa kufuata nyao za mkuu huyu wa mkoa

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Kama ndugu zako wamefeli kwa kumuangalia bashite basi ndugu zako ni bashite zaidi kuliko bashite mwenyewe.

Yule Ole Sendeka RC wa Njombe mbona wanafunzi wa mkoani kwake hawajawa wa mwisho, Ole Sendeka alipata div 0 form six
tapatalk_1499844460076.jpeg

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Azania ilianza kupoteza muelekeo pale walipoanzisha shift ya asubuhi na mchana,shule ikaelemewa na hatimaye walimu wakapoteza ari ya kufundisha.

Sony Z3
 
Hiii ni aibu kwa mara ya pili azania inavuta mkia, hakika si jambo jema ni jambo la kuumiza hasa sisi tuliosoma pale na kuondoka na one zetu kali!

Hiv mzimu gani anawaandama vijana wanao kwenda kusoma pale?

Enzi zetu,haikuwa hivyo,jamn kma ulisoma azaboy ungana na mimi ktika kilio hiki maana si cha kawaida.

Jaman tena tumekuwa wa mwsho tena kitaifa?wapi tuliopita pale ebu km inawezekana tukutane pale tujadiri.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mnataka wafaulu ili iweje? Kumbuka kuwa kwenye cheo cha kisiasa inahitajika kujua tu kusoma na kuandika. Tayari hawa wanafunzi wa Azania wamekidhi. Sasa wanasubiri tu kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hujui usemalo.

Wanafunzi wazembe, wajuaji, wanaoshinda kwenye mitandao whatsup, instagram wakiangalia video za ngono usitegemee wataweza kufaulu...

Aisee, hili ninaloliongea nina uhakika nalo 100%. Hapa nilipo kuna wanafunzi wa sekondari wapo form 4 kwa sasa. Sasa hawa wanafunzi kuna siku nilikuwa nipo free, nikajisemea ngoja niwaite niwaulize mawili matatu juu ya shule na masomo. nikawaambia siku nitakayokuwa free, kweli, siku ilipofika wakaja (wapo watatu) tukaanza stori za hapa na pale.

katika stori nikajikuta nimewauliza somo gani ni gumu kwao, Watoto wakanijibu kuwa hisabati ni gumu kwao. Mimi nikawauliza gumu kivipi.? wakaniambia wakifundishwa huwa hawaelewi. nikawaambia ok, leteni mitihani mnayofanya niione, maana nilidhani labda wanatungiwa maswali ya additional mathematics siku hizi. Wakaendea kufuata mitihani, Kuja kuiona nikakuta maswali ni yaleyale ya enzi zetu.

kwamba maswali ya kutumia four figure, logarithm, exponents, repeating decimals, sets nk yaani kama vile ilivyokuwa enzi zetu na ilivyokuwa miaka yote. Nikawauliza sasa hapa kigumu ni kipi.? wakasema hayo hatuyawezi, na kweli ilikuwa hawayawezi kwani walikuwa wamepata single digits katika ile mitihani. Basi bila hiyana nikawaambia kwa sasa hamjachelewa, mkitaka kufaulu hesabu mtafaulu ingawa inahitaji jitihada za dhati. Nikawaambia mimi nitawasaidia, wao wawe wanaandaa maswali yote yanayowashinda nami nitakuwa nawaelekeza weekend nikiwa na nafasi.

Nilipokuja kuwafundisha, Inaonekana weupe kabisa kichwani, hata basics hawazifahamu. Mtu form four haelewi standard notation, significant figure, exponents rules, logarithms, sets, nk. walipowaletea maswali nikaona njia sahii ni kuwa nawasolvia maswali ya katika mitihani. Nikatoa pesa nikawaprintia past papers za necta zote toka 1996 mpaka sasa. Nilichowaambia sasa hivi nawafundisha muelewe, na nawafundisha muwe na uwezo wa kujibu maswali ya section A maswali rahisi, Kwani muda haupo on their side kiviiile. na wakishamaster maswali korofi na wakiwa wana uwezo wa kujibu maswali matano ya section A, means watakuwa na uwezo wa kupata marks 30, Kisha nitawatafutia maswli mawili ya section B ambayo wapate 20 ambayo itawarusha paka katika daraja C. Kupata maswali matano section A si kitu kigumu, kwani ukicover standard notations, exponents, sets, statistics, vector, coordinate nk hukosi maswali ya section A matano ya kujibu. Section B ukisoma Matrix, Linear programming, coordinate geometry, kinematics un=kamaster huwezi kosa maswali mawili ya kujibu.

Ninachofanya, nachukua subtopic swali lake, nawaelekeza na pia nawapa in and out posible ways maswali yanavyoweza kuja ya hiyo subtopic husika. Nikimaliza wafundisha nawapa task, wakachukue ile mitihani ya necta na mitihani mengine waliyokuwa nayo watafute maswali yanayofanana na hayo kisha wajaribu kuyafanya, tukikutana weekend nitawasahihishia kama wamekosea. Sasa hivi naweza sema wanaelewa, na nimeanza nao na maswali mepesi ambayo ni must occur in necta exams. na nikwambie tuu, toka nianze nao i am proud kuwa wanaweza solve questions zote za subtopics ambazo nimewaelekeza. itu ambacho ni maendeleo makubwa sana kwao na inanipa matumaini kuwa hawatofeli hesabu katika miezi minne ijayo wanayotaraji fanya Necta.

Nilichogundua mpaka watoto wanakuwa hivi, ni kwamba hawaelekezwi vyema na waalimu hawaweki mkazo juu ya elimu ya watoto. Sawa watoto ni wasumbufu, lakini inapaswa uingie katika saikolojia yao uendane nao kama umri wao. Kwa hawa nilionao, kwa sasa wanafurahia hesabu kwa kuwa wanaelewa, na ninavyoona hawawezi pata F wala D katika matokeo yao katika hili somo.
 
Wanafunzi wanapiga selfie darasani wametinda na nyusi unategemea nini??sijasoma azania ila nilikuwa na marafiki zangu wanasoma azania, tumehudhuria sana vituisheni enzi hizo kama pale mwenge mapambano, ni full buku, sio selfie!
 
kwa kweli hata mimi inaniuma sana! hii sio Azania naijua mimi...
 
Wanafunzi wanapiga selfie darasani wametinda na nyusi unategemea nini??sijasoma azania ila nilikuwa na marafiki zangu wanasoma azania, tumehudhuria sana vituisheni enzi hizo kama pale mwenge mapambano, ni full buku, sio selfie!

wanafunzi wanaonewa tuu, ila tatizo linaanzia kwa waalimu. Hata enzi zetu wanafunzi wakorofi walikuwepo tena mijeba haswa na wakorofi haswa, ila waalimu walikuwa wanafanya part yao ipasavyo. Sasa ije kuwa haw
 
Mimi nadhani vijana wa mjini siku hizi hawajitambui..wako bize na mambo mengine kuliko masomo yao.
Shule kama Azania sio rahisi kukosa waalimu, na pia mjini fursa za kusoma tuition ni nyingi. Mimi siamini kama mwanafunzi anajua anachofanya shuleni anaweza kufeli, labda kama ana tatizo la kiafya.
Tatizo linalowakabili watoto wa siku hizi ni wingi wa fursa za kusoma, sisi miaka ile kusoma Azania, Tambaza, Jangwani, Zanaki, Kisutu, Kibasila, na Forodhani ilikuwa sifa mtaani, na tulipoingia shule tulikuwa serious.

Enzi zetu Azania ilikuwa haiwezekani mwanafunzi kupata division zero, tulitambua tulichokuwa tunafanya, labda kwa kuwa tulikuwa tunasoma tukiwa wakubwa kidogo kuliko sasa ambapo wanasoma sekondari wakiwa na miaka 12 na kumaliza sekondari wakiwa na miaka 16 au 18.

Vv
vujana wenyewe si ndo hawa wanasumbua huku JF?
 
Hiii ni aibu kwa mara ya pili azania inavuta mkia, hakika si jambo jema ni jambo la kuumiza hasa sisi tuliosoma pale na kuondoka na one zetu kali!

Hiv mzimu gani anawaandama vijana wanao kwenda kusoma pale?

Enzi zetu,haikuwa hivyo,jamn kma ulisoma azaboy ungana na mimi ktika kilio hiki maana si cha kawaida.

Jaman tena tumekuwa wa mwsho tena kitaifa?wapi tuliopita pale ebu km inawezekana tukutane pale tujadiri.

Post sent using JamiiForums mobile app
KAKA KABLA HUJAPOST KITU HUMU UWE UNAJIRIDHISHA NA UHAKIKA WA TAARIFA YAKO,
..
POST INAYOSAMBAA WHATSUP KUHUSU SHULE KUMI ZA MWISHO NI FAKE,

HIYO LIST NI YA MWAKA JANA, NDIO AZANIA ILIKUWEPO KWENYE SHULE KUMI ZA MWISHO.

MATOKEO YALIYOTOKA LEO, YANAONYESHA SHULE KUMI ZA MWISHO NI KAMA IFUATAYO NA AZANIA HAIPO...

Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba), Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).

Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya)

Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Mbeya (Mbeya), Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).
 
Tabora, Mzumbe, kibaha walimu wao wameagizwa Kenya?
 
Back
Top Bottom