macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Cold war was over. Siasa za dunia zilibadilika. All in all, kama alijiuzu ili kuruhusu hiyo hali huoni kuwa alifanya jambo zuri?Nyerere asingekzbalu ba alishaona dalili mapema ndio maana akang'atuka
Cold war was over. Siasa za dunia zilibadilika. All in all, kama alijiuzu ili kuruhusu hiyo hali huoni kuwa alifanya jambo zuri?
Alifanya jambo jema,indeed hakuwa tayari kuwa kigeugeu kutoka kuamini siasa za kijamaa zilizofeli na kugeukia ubepari,akaona isiwe taabu awaachie wengine.Cold war was over. Siasa za dunia zilibadilika. All in all, kama alijiuzu ili kuruhusu hiyo hali huoni kuwa alifanya jambo zuri?
1974 TV ya kwanza ya rangi Afrika. Halafu mwaka 1976 uwanja wa Amani ukawekwa TARTAN, ule mpira uliotandazwa eneo la kukimbilia riadha.Sijui aisee ila stori za kijiweni eti yeye na nyerere pekee ndio walikuwa na hiyo kitu.japo zanzibar walianza kuwa na huduma ya TV kitambo
Sisi wengine tulirudia kutizama kwa sababu ITv walikuwa wanaonesha marudio ya kombe la dunia na olimpiki Kasri walivyotaka. Ila 98 tumetizama sema siyo mechi zote...tumebandika sana stika za vikosi na wachezaji ktk madaftari. 2002 Korea Japan na yaliyofuata tumecheki ingawa siyo mechi zote...itoshe kusema kuna members wakubwa humu...
Wazee wenu tupo tuSisi wengine tulirudia kutizama kwa sababu ITv walikuwa wanaonesha marudio ya kombe la dunia na olimpiki Kasri walivyotaka. Ila 98 tumetizama sema siyo mechi zote...tumebandika sana stika za vikosi na wachezaji ktk madaftari. 2002 Korea Japan na yaliyofuata tumecheki ingawa siyo mechi zote...itoshe kusema kuna members wakubwa humu...