Tulioangalia mpira kupitia TBC

TBC kupitia DSTV, msisahahu juu ya hali ya hewa! Mawingu kidogo tu DSTV huwa Inakwama! Refer mechi ya jana ya saa moja.
 
Mkuu mimi nakula maisha kupitia GeorDavie TV mechi zote tatu kwa siku bure na clear kabisa HD.
 
Acha ubishi, tbc wameanza kurusha matangazo kwa kiwango hicho cha HD kama huamini katupie macho kupitia startimes na si dstv kwani kuna kila dalili ya dstv kuifanyia hujuma tbc kipindi hiki cha FIFA WC
Dstv wanaharibu ubora wa tbc..
Ila kwenye madishi mengine ni HD kabisaaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Jana angalau zile kamera zimetulia,tofauti kabisa na mechi za mwanzoni.

Ikumbuke hakuna mtu anaechukia kitu ila kwenye ukweli tunasema ukweli wengine unafiki na uchawa hatuuwezi.

NARUDIA TENA(jana TBC ndio imeonyesha mpira safi na camera zimetulia kabisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…