Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Kagua tv yako ndugu yngu mbna kwangu hd kbsa nzuri tuAngalia sasa hivi quality mbooovu mpira wa Senegal v Netherlands wanaonyesha ila sio HD, mawimbi kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagua tv yako ndugu yngu mbna kwangu hd kbsa nzuri tuAngalia sasa hivi quality mbooovu mpira wa Senegal v Netherlands wanaonyesha ila sio HD, mawimbi kibao
Mkuu mimi nakula maisha kupitia GeorDavie TV mechi zote tatu kwa siku bure na clear kabisa HD.Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.
Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.
Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.
WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
Dstv wanaharibu ubora wa tbc..Acha ubishi, tbc wameanza kurusha matangazo kwa kiwango hicho cha HD kama huamini katupie macho kupitia startimes na si dstv kwani kuna kila dalili ya dstv kuifanyia hujuma tbc kipindi hiki cha FIFA WC