Tulioangalia mpira kupitia TBC

Tulioangalia mpira kupitia TBC

TBC kupitia DSTV, msisahahu juu ya hali ya hewa! Mawingu kidogo tu DSTV huwa Inakwama! Refer mechi ya jana ya saa moja.
 
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.

Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.

Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.

WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
Mkuu mimi nakula maisha kupitia GeorDavie TV mechi zote tatu kwa siku bure na clear kabisa HD.
 
Acha ubishi, tbc wameanza kurusha matangazo kwa kiwango hicho cha HD kama huamini katupie macho kupitia startimes na si dstv kwani kuna kila dalili ya dstv kuifanyia hujuma tbc kipindi hiki cha FIFA WC
Dstv wanaharibu ubora wa tbc..
Ila kwenye madishi mengine ni HD kabisaaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
TBC KUPITIA AZAMTV IMEKUA HDView attachment 2424457
20221122_220324.jpg
 
Jana angalau zile kamera zimetulia,tofauti kabisa na mechi za mwanzoni.

Ikumbuke hakuna mtu anaechukia kitu ila kwenye ukweli tunasema ukweli wengine unafiki na uchawa hatuuwezi.

NARUDIA TENA(jana TBC ndio imeonyesha mpira safi na camera zimetulia kabisa)
 
Back
Top Bottom