Tulioangalia mpira kupitia TBC

Tulioangalia mpira kupitia TBC

Hapana Mkuu sidhani kama tatizo ni TV nilijaribu kuangalia pia kwa TBC kupitia hiyo hiyo DSTV maana wameipromote sana kuwa wataonyesha hizi mechi ilikuwa kichekesho,nikaswitch Supersport na mambo yakawa mswano kabisa
Nimeangalia kupitia startimes, picha zilikuwa katika ubora wa juu mno, nadhani dstv kuna jambo nyuma ya pazia dhidi ya tbc ukizingatia tbc wanaonesha michuano for free kabisa.
 
tbc na HD imeanza lini.. tafuteni hela tbc sio channel ya kuangalia kombe la dunia..mtangazaji humsikii na picha kama mchuzi biriani
Acha ubishi, tbc wameanza kurusha matangazo kwa kiwango hicho cha HD kama huamini katupie macho kupitia startimes na si dstv kwani kuna kila dalili ya dstv kuifanyia hujuma tbc kipindi hiki cha FIFA WC
 
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.

Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]??maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.

Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.

WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO???
Ni kweli kabisa binafsi ilifika muda nikahis labda macho yangu Yana shida.
 
Imebidi nirudi kuangalia kwa King'amuzi cha Dstv nione kama kweli ni HD maana huwa wanaonyesha kuwa channel husika ni HD nikakuta hola.
Huko ni dstv, kaangalie kupitia startimes utuletee mrejesho. Dstv kuna namna wanafamya hujuma kwa tbc kipindi hiki cha kombe la dunia.
 
Mimi TANESCO walivyojawa na wivu wakakata kabisa umeme wenyewe ili nisiangalie. Watu wenye roho mbaya wengi sana kwenye hii nchi, ndiyo maana hatuendelei
 
Huko ni dstv, kaangalie kupitia startimes utuletee mrejesho. Dstv kuna namna wanafamya hujuma kwa tbc kipindi hiki cha kombe la dunia.
hujma kama zipi.. tbc hata mavipindi yao qualities za picha na sauti ni za ubabaishaji mtupu
 
Nimeangalia kupitia startimes, picha zilikuwa katika ubora wa juu mno, nadhani dstv kuna jambo nyuma ya pazia dhidi ya tbc ukizingatia tbc wanaonesha michuano for free kabisa.
Dstv hawana sababu ya kuhujumu kwakuwa TBC hawaonyeshi mechi zote 64,kwa hiyo kwa wapenda mpira haswa Dstv haikwepeki kama unahitaji kuangalia mechi zote mubashara.Kuna member mmoja hapo juu kasema kwa Star times kuna TBC mbili iliyo na HD na isiyokuwa nayo.Basi inawezekana TBC isiyokuwa HD ndiyo ipo huko Dstv.
 
Huko ni dstv, kaangalie kupitia startimes utuletee mrejesho. Dstv kuna namna wanafamya hujuma kwa tbc kipindi hiki cha kombe la dunia.
Umeeleweka Mkuu, lakini sidhani kama Dstv wana sababu ya kufanya hujuma maana TBC wataonyesha tu baadhi ya mechi na si zote.So far kwangu mimi naprefer zaidi Dstv nione mechi zote mubashara
 
Umeeleweka Mkuu, lakini sidhani kama Dstv wana sababu ya kufanya hujuma maana TBC wataonyesha tu baadhi ya mechi na si zote.So far kwangu mimi naprefer zaidi Dstv nione mechi zote mubashara
Uko sahihi mkuu, hata mimi nitaangalia gem watazoonesha live tbc, wasizoonesha nitaangalia kupitia pc. Nachopingana na wanaoibeza tbc ni kuhusu quality ya picha zao, tbc wameimprove mno hasa kwa sisi tunaoangalia kupitia azam tv na startimes, sijui kuhusu hao wanaoamgalizia dstv.
 
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.

Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.

Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.

WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
Jana niliongea humu kwamba TBC bila aibu wanaturushia mpira at 10fps wanatuona kama kila mtu ni zwazwa.

Mwaka 2022 unarusha mpira kwa frame rate za mwaka 1990's.

Hawa jamaa ni kituko.
 
Uko sahihi mkuu, hata mimi nitaangalia gem watazoonesha live tbc, wasizoonesha nitaangalia kupitia pc. Nachopingana na wanaoibeza tbc ni kuhusu quality ya picha zao, tbc wameimprove mno hasa kwa sisi tunaoangalia kupitia azam tv na startimes, sijui kuhusu hao wanaoamgalizia dstv.
Tbc ya Dstv ni majanga,aliye na dstv lazima at upgrade kwenda kwa Compact package ili aone mechi zote
 
Peleka Tv kwa fundi, mimi nimeangalia kupitia tbc hiyo hiyo kitu HD na mambo yalikuwa safi kabisa.
Siku ukitazama HD angalau hata kwa 120HZ frame rate ndio utajua unakosa mambo mazuri, siyo ule ujinga waliokuwa wanarusha jana TBC.

Tafuta hela.
 
Kama wewe ulikua unaipata kwa shida TBC basi una haki ya kulaumu, lakini huwezi kuilaumu tu kwa ajili ya hizi picha za kombe la dunia ambazo hazizalishwi na wao,na pia hawarushi picha moja kwa moja kwa mteja hivyo tatizo linaweza pia kua startime,au azam.

Mimi ni mmojawapo nilieangalia kupitia TBC, kwa king'amuzi cha azam na ilikua safi mwanzo mpaka mwisho.
Hapa umeamua kuhamisha lawama ili kuwatetea hao wapuuzi.

Hata kama picha hazizalishwi na wao, hakuna mzalishaji picha anayetoa picha katika frame rate ndogo kama kile kituko cha jana.

TBC hawapo serious.
 
Back
Top Bottom