Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Nimeangalia kupitia startimes, picha zilikuwa katika ubora wa juu mno, nadhani dstv kuna jambo nyuma ya pazia dhidi ya tbc ukizingatia tbc wanaonesha michuano for free kabisa.Hapana Mkuu sidhani kama tatizo ni TV nilijaribu kuangalia pia kwa TBC kupitia hiyo hiyo DSTV maana wameipromote sana kuwa wataonyesha hizi mechi ilikuwa kichekesho,nikaswitch Supersport na mambo yakawa mswano kabisa