Flechaa
Member
- Jul 18, 2018
- 76
- 154
Habari za muda huu Wakuu.
Natumai mu wazima wote.
Uzi huu una lengo kuu la kutoa nafasi kwa kila mmoja mwenye mawazo chanya au ushauri unaoweza kumkwamua mtu yeyote humu aliyekwama katika nyanja yoyote mfano kazi, elimu, maisha, imani, au jambo lolote la msingi ili kuweza kunyanyuka tena na kuendelea na safari.
Mimi pia ni miongoni mwa waliofeli na kuanguka kimaisha, kitabia, bingwa wa kuanza na kuacha, na mwenye kasoro nyingi so ushauri,quote ama maneno yoyote ya hekima yanaweza kutusaidia watu wa aina hii kuanza tena. Nitafurahi mno kupata michango yenu chanya.
Karibuni wakuu.