Tulioanguka na kukata tamaa ya maisha tukutane hapa.

Flechaa

Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
76
Reaction score
154
Habari za muda huu Wakuu.
Natumai mu wazima wote.
Uzi huu una lengo kuu la kutoa nafasi kwa kila mmoja mwenye mawazo chanya au ushauri unaoweza kumkwamua mtu yeyote humu aliyekwama katika nyanja yoyote mfano kazi, elimu, maisha, imani, au jambo lolote la msingi ili kuweza kunyanyuka tena na kuendelea na safari.
Mimi pia ni miongoni mwa waliofeli na kuanguka kimaisha, kitabia, bingwa wa kuanza na kuacha, na mwenye kasoro nyingi so ushauri,quote ama maneno yoyote ya hekima yanaweza kutusaidia watu wa aina hii kuanza tena. Nitafurahi mno kupata michango yenu chanya.
Karibuni wakuu.
 
Pamoja na magumu nnayopita kamwe siwezi kukata tamaa kwa dini yangu ni dhambi kubwa mnoo, na kwenye ulimwengu wa roho shetani huwa anayafanyia kazi maneno yetu, naamini kesho yangu itakuwa nzuri maana mawazo ya mwanadamu si kama ya Mungu
 
Mkuu kuna jamaa nilisoma nae anaitwa UFORO MANGESHO. Je ni wewe?
 
Pamoja na magumu nnayopita kamwe siwezi kukata tamaa kwa dini yangu ni dhambi kubwa mnoo, na kwenye ulimwengu wa roho shetani huwa anayafanyia kazi maneno yetu, naamini kesho yangu itakuwa nzuri maana mawazo ya mwanadamu si kama ya Mungu
Nice to hear that.
 
Amen.
 
Habari za muda huu Wakuu.
Natumai mu wazima wote.
Uzi huu una lengo kuu la kutoa nafasi kwa kila mmoja mwenye mawazo chanya au ushauri unaoweza kumkwamua mtu yeyote humu aliyekwama katika nyanja yoyote mfano kazi, elimu, maisha, imani, au jambo lolote la msingi ili kuweza kunyanyuka tena na kuendelea na safari.
Mimi pia ni miongoni mwa waliofeli na kuanguka kimaisha, kitabia, bingwa wa kuanza na kuacha, na mwenye kasoro nyingi so ushauri,quote ama maneno yoyote ya hekima yanaweza kutusaidia watu wa aina hii kuanza tena. Nitafurahi mno kupata michango yenu chanya.
Karibuni wakuu.
Ndugu usikate tamaa. Mungu yupo na anakuona unayopitia yote.

Niliwahi kukata tamaa hadi nikajutia muda niliopoteza kusoma, nikiangalia marafiki ambao hawakusoma wana mafanikio kuliko mimi!

Nilianza kusali, kufunga na kuomba mara kwa mara. Nilimtumainia Mungu na kumlilia kwa huzuni na kwa mzigo na majuto.

Advertise ya kwanza, Mungu akaniponya matatizo ya mwili wangu yaliyonisumbua muda mrefu. Nikabaki nashangaa tu na kumshukuru Mungu.

Advertise ya pili, nikapata kazi bila hata kupitia interview wala barua; nikaambiwa tu nijitolee wiki 3 then nitaanza kuajiliwa.
Nilifurahi sana maana hata kazini walinihesshimu kwa kujua mimi ni mcha Mungu.

Nilitoka hapo kazini baada ya kupata kazi nyingine ila kiukweli walikuwa bado wananipenda niwepo ila nilitazama maslahi zaidi.
Nenda kwa Yesu ataitua mizigo yako
Amen.

Umetoa comment tamu kwa kweli.
Watu wengi tunawahi kukata tamaa hasa tunapocheleweshewa majibu
 
Dah...kwa mahitaji ya kamba imara za kujinyongea....sumu ya panya niPM...hutajuta[emoji2960]
 
Huo hapo ujumbe
Screenshot_20190719-204832.jpeg
 
Back
Top Bottom