Tulioanza mahusiano Primary school na Sekondari tukutane hapaa...

MKUU MAPENZI YA SHULE MATAMU SANA,FULL VIBARUA VYENYE MAKOPA,MANENO MATAMU SANA YA KWENYE VIBARUA.JE MNAZIKUMBUKW ZILE WRITING PADS ZENYE MAUA MAUA...FULL POST CARDS ZA KIMAHABA.EBANA SIKU HIZI SMS ZA SIMU HAZINA MANENO YA MAHABA KABISA YAN
Vijana wa siku izi hawatojua ii kitu ilikua na umuhimu kihisia na kiakili gani wakati tunakua, Dem wangu alikua anasoma0 Kiraeni Secondary tangu form 3 had 6 alifanya maisha yangu yawe na msisimko wa pekee nlipokua nikipokea barua zake, na me kumwandikia barua.
 
SANA MKUU ILAKUWA INASABABISHA PENZI KUWA IMARA SANA NA MVUTO WA KIPEKEE
 
we acha tu niliwahi kuchapw bakora baada ya msichana niliemwandkia barua kuipeleka kwa mwalimu noma sana
 
Primary raha sanah,niliandikiwa barua na madem kama watatu hivii,,

Dah sasa hivi washaolewa wote ma nashangaa shangaa tuuuu
hahaha mkuu nafikiri ulijifanya unapenda kusoma kuliko mapenzi
 
MKUU MAPENZI YA SHULE MATAMU SANA,FULL VIBARUA VYENYE MAKOPA,MANENO MATAMU SANA YA KWENYE VIBARUA.JE MNAZIKUMBUKW ZILE WRITING PADS ZENYE MAUA MAUA...FULL POST CARDS ZA KIMAHABA.EBANA SIKU HIZI SMS ZA SIMU HAZINA MANENO YA MAHABA KABISA YAN
we acha tu... Ilikua full kuenjoy
 
Mi Sina cha kuandika wakuu nikikumbuka natamani kulia kidume mimi
 
Dah umenikumbusha mbali sana yaani Primary school and secondary school niliishi kama nipo peponi katika swala zima la mapenzi ,nilipokea barua za mapenzi kila siku hadi school kukabuma nkatimuliwa
 
Darasa la tano hapo niko na mtoto mmoja mzuri sana Catherine niliyeishia kumnunulia barafu, ngubiti, bumunda na kashata na bado papuchi nikakosa.
 
St mary goret barua zetu zilikua zinatoka uru seminary maua seminary ila walimu walikua wanafungua unaitwa unatiwa stick sawasawa
 
Dah umenikumbusha mbali sana yaani Primary school and secondary school niliishi kama nipo peponi katika swala zima la mapenzi ,nilipokea barua za mapenzi kila siku hadi school kukabuma nkatimuliwa
hahahahaaa...
 
Back
Top Bottom