Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu niliishi nao kipindi hicho ila baadae wakawahi kuolewa si unajua watt wa kike tenah shule ikizingua home jau kinga yao ni kuolewa tu,me bado nasongoka but huwa wananicheki siku mojamojahahaha mkuu nafikiri ulijifanya unapenda kusoma kuliko mapenzi
Naamini Mungu analea... Wote tu wazima, Wakuu huu uzi ni maalum kwa tuliozijua papuchi na midete kuanzia primary school mpaka sasa hapa tushirikishane jambo lililokufurahsha katika mahusiano hayo na mambo kadha wa kadha kwangu mimi drs la sita nilimtongoza binti akakubali nikawa naenda kwao namsubri aagizwe dukani mpaka saa 5 usiku akiagizwa anatimua mbio over faru duuh.. Lakini sikuchoka kila siku nipo kwao... Pia tukikutana nae japo kwa mbinde hataki hata nimguse tunaongea umbali wa mita 6.5
Mzee wa hall V umeanza kuwa sponsa toka uko vidudu?Kuna binti alikuwa ananichuna saana. Kila siku nimnunulie bumunda na furu. Papuchi niliisikia tuu.... Siku akatangaza ikafika kwa mwalimu mmoja mlemavu wa macho. Nilikula mbata nyingi saaana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Darasa la tano hapo niko na mtoto mmoja mzuri sana Catherine niliyeishia kumnunulia barafu, ngubiti, bumunda na kashata na bado papuchi nikakosa.
Hapana. Ule ndio ampenzi ya dhati kabisa yaan real love, maana from that time sijawahi kupenda kweli... Siku hiZi tunavumiliana tuuu.... Yaan unaishi na MTU sio kwamba unampenda ila mnavumilia kulea watoto na kuogopa Jamii itakuonajeMzee wa hall V umeanza kuwa sponsa toka uko vidudu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app