Tulioanza mahusiano Primary school na Sekondari tukutane hapaa...

Darasa la tano hapo niko na mtoto mmoja mzuri sana Catherine niliyeishia kumnunulia barafu, ngubiti, bumunda na kashata na bado papuchi nikakosa.
hahahaa.. Mkuu ulitishaa... No papuchi but penzi lina raha sana
 
St mary goret barua zetu zilikua zinatoka uru seminary maua seminary ila walimu walikua wanafungua unaitwa ******* stick sawasawa
Yaani bakora na penzi la primary na sec' huwezi kukwepa hata uwe mjanja vipi lazma unaswe
 
Nakupunga primary nilitongozwa na watoto wa kike wa wa walimu pamoja na head girl katika kutafuna papuch swala liliniletea matatizo sana full kugombaniwa mpaka mkuu wa shule akanipa suspension kueleza washua ilikuwa tabu, walihisi na laana
 
hahaha mkuu nafikiri ulijifanya unapenda kusoma kuliko mapenzi
Hapana mkuu niliishi nao kipindi hicho ila baadae wakawahi kuolewa si unajua watt wa kike tenah shule ikizingua home jau kinga yao ni kuolewa tu,me bado nasongoka but huwa wananicheki siku mojamoja
 
 
Kuna binti alikuwa ananichuna saana. Kila siku nimnunulie bumunda na furu. Papuchi niliisikia tuu.... Siku akatangaza ikafika kwa mwalimu mmoja mlemavu wa macho. Nilikula mbata nyingi saaana.
Mzee wa hall V umeanza kuwa sponsa toka uko vidudu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mzee wa hall V umeanza kuwa sponsa toka uko vidudu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hapana. Ule ndio ampenzi ya dhati kabisa yaan real love, maana from that time sijawahi kupenda kweli... Siku hiZi tunavumiliana tuuu.... Yaan unaishi na MTU sio kwamba unampenda ila mnavumilia kulea watoto na kuogopa Jamii itakuonaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…