Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT



Update: 09/07/2021
 
Button inakua wapi

Gauge ya gesi inasoma wapi na ya mafuta ya kawaida wapi?.
Unatofautishaje?.
Ni modification ndogo tu wanafanya kwenye dashboard, kuna kuwa na zile reserve port za kufunga extra switch pale pembeni ya ignition, wataalam wanaelewa zaidi. Na pia kuna slave ECU inayounganishwa na master ECU / computer ili zishirikiane kwenye seamless/smooth changerover ya gesi kwenda mafuta and vice-versa. Na slave computer ikihisi gas pressure imeshuka sana basi automatically infyatua switch na kuirudisha kwenye mafuta, just incase umejisahau.
 
Ingefaa ifungulie uzi maalum wa hili suala, mtu aandike kirefu na afafanue zaidi, ni wapi unaweza kufunga huo mtungi na kwa gharama gani, na mtungi huo ni wa lita ngapi na utakupeleka km ngap, na hiyo gesi ni ya bei gani. Na je kama nitanunua gari linalotumia gesi kama ya huku ulaya je nitaweza kutumia huko TZ..
Watu wengi watanufaika hapo.
 
Back
Top Bottom