Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT

Update: 09/07/2021
Vipi hali ya gari yako mpaka sasa waambie ukweli wenzie jinsi engine inavyogonga ila kama una roho mbaya endelea kuwadanganya
 
Gharama ni kati ya 1.8 mil 2. Mil kuna mchina anafunga Tazara na pia DIT 1kg 28 hadi 30 km. Mtungi unakaa kwenye buti au nje kama ni lori. Unakuwa na option 2 mafuta na gesiikiisha hii unabadili kwa kubofya button vituo vya gesi vinaanza kuongezwa kwa Dar.

Kama kuna side effect labda zitaonekana baadae hadi sasa watu waliofunga hawafungui vioo na gari inakuwa silencer wakati unapata mahitaji super market. Mwenye swali apige DIT au Tazara kwa mchina
 
Mfano baby walker yangu a.k.a Prado cc 650 mtungi wa 11kg inatembea umbali gani
 
Back
Top Bottom