Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Safisha mtaro, ukimaliza nijulishe nijeNg'ombe wewe unajua alichofanya hadi nikasema i am humbled?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safisha mtaro, ukimaliza nijulishe nijeNg'ombe wewe unajua alichofanya hadi nikasema i am humbled?.
Ulishafunga Jombaa? MrejeshoMimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
Naona ndo kazi zenu ng'ombe kama wewe mshazizoea endelea nazoSafisha mtaro, ukimaliza nijulishe nije
Tayari umesafisha?Naona ndo kazi zenu ng'ombe kama wewe mshazizoea endelea nazo
Siku ingine usidandie treni kwa mbele
Tena mafuta ndio mabaya kuliko gas ambayo ni lighter than air.Usitafute huruma, toa hoja, hiyo hatari ya gesi ni ipi ambayo kwenye haya mafuta haipo?
Hahaha yani kilo moja ni mwendo wa bajaji acha kabisa. Unatembea kilometre 28 kwa kilo moja halafu mtungi una kilo 50! Kudadeki misele full ac nachomoa switch za power window zote 😂 gari yangu haishushwagi kioo!Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
Siku yakiwalipukia mje mtoe mrejesho piaWenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT
===============================
================================CNG kuwaangamiza waarabu, Tanzania yalamba bingo nzito gesi asilia toka kusini
‘CNG’ ni nini? ‘CNG’ au kwa kirefu ‘Compressed Natural Gas’ (Gesi asilia iliyohifadhiwa kwa mgandamizo mkubwa)ni nishati inayoweza kutumika kama mbadala wa petroli, dizeli na gesi ya kupikia (LPG). Matumizi ya gesi ya ‘CNG’ huzalisha sumu za ukaa chache zaidi ukilinganisha na hizo nishati za...www.jamiiforums.com
Gesi yaokoa mamilioni ya pesa za madereva
KUGUNDULIKA kwa gesi kwenye mikoa ya Kusini mwa nchi, kumeokoa fedha nyingi ambazo zilikuwa zikitumika kununua petroli na dizeli. Hayo yameelezwa na wafanyabiashara wa kusafirisha abiria jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti. Mmoja wa watu hao ni dereva teksi aliyejitambulisha kwa jina moja...www.jamiiforums.com
Soma uziSiku yakiwalipukia mje mtoe mrejesho pia
Itakuja kutulipukia Wakati upo speed mungu wanguNi mitungi hii ya oryx ama?
Unakaa wapi huo mtungi?.
Kazi ipoMuamie huku Sasa!!!
Mbona hamzungumzii nguvu ya gari kupungua kwa 50%Tunakumbushana sio?