Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
Hahaha yani kilo moja ni mwendo wa bajaji acha kabisa. Unatembea kilometre 28 kwa kilo moja halafu mtungi una kilo 50! Kudadeki misele full ac nachomoa switch za power window zote 😂 gari yangu haishushwagi kioo!
 
Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT

===============================
================================
Siku yakiwalipukia mje mtoe mrejesho pia
 
 
 
Naomba kwanza kuuliza, Natural gas si kwa kiwango kikubwa ni Methane?? na kama ni hivyo nmeona jinsi mitungi inavyounganishwa na mfumo wa gari tuseme tu ukweli it is so unprofessional sijaona udhibiti mzuri wa gesi kutovuja,

Its true natural gas inazalisha kiwango kidogo cha carbondioxide ila ukiangalia kwa upande mwingine yenyewe pia si salama kwa tabaka hewa methane pia ni miongoni mwa Green House gases! Ningeshauri kabla ya kuanza kufunga wana DIT mungekuja na mfumo mzuri zaidi kuliko hii unawekewa limtungi ndani ya gari.
 
Back
Top Bottom