Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Hizi gesi ni lighter than air, hivyo hata ikivuja huenda hewani na hakuna hatari ya ku-accumulate na kulipuka, pia mitungi yake ni migumu mno kiasi hadi ipasuke labda uipige na bomu, ni very safe. Kwa Tanzania toka ianze kufungwa hapajawaji kuwa na incident ya aina yeyote ile. Hilo gari labda limelipuka kwa dynamite/ baruti, you never know.
kwa sasa mpuuze kidogo tupate elimu
 
BINAFSI NILIWASIKIA HAO DIT WAKIHOJIWA CLOUDS FM NA WALISEMA KWASASA WANABADILISHA MAGARI YANAYOTUMIA TU PETROL YA UKUBWA WA AINA YOYOTE KWA GHARAMA YA TSH, MILIONI MOJA NA LAKI NANE (1,800,000) WAKASEMA VIFAA VYA KUFUNGA MAGARI YANAYOTUMIA DIESEL WAMESHALETA ILA BADO HAWAJAANZA KUFUNGA ILA SOON WATAANZA PIA YA DIESEL.
PIA WALISEMA KWENYE DASH BORD KUTAKUA NA ALAMA INAYOONESHA KIWANGO CHA GESI KILUCHOPO KAMA TU INAVYOONYESHA MAFUTA, PIA KUTAKUWA NA BUTON MAALUM YENYE UWEZO WA KUSWICH OFF UPANDE WA GESI KAMA IMEKWISHA NA KURUDI UPANDE WA MATUMIZI YA PETROL.
NA WALISEMA KWASASA KILO MOJA YA GESI NI TSH, 1500 NA KWA GARI DOGO INA UWEZO WA KUTEMBEA MPAKA KM 27 KWA KG, 1 NAFIKIRI KIDOGO NIMEELEWEKA.
Huo mtungi unakuwa na kilo ngapi na je gesi kabla kwisha naweza jaza au lazima nisubiri iishe kabisa Kama ilivyo kwa mitungi ya gesi ya kupikia?
 
Back
Top Bottom