Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

ni bora kununua gari yenye mifumo miwili iliyotengenezwa straight from kiwandani, nyinyi mnaofurahia hii kitu wait and see! mark my word kuna mtu atakua mfano then na biashara itapigwa marufuku. Nat gas sio kitu cha mzaha that much.
 
Ni kweli kwamba zifuatazo ni baadhi ya changamoto au madhara ya kuweka na kutumia mfumo wa gesi asilia kwenye gari?

1. Ufanisi wa gari unashuka kwa 10% au zaidi.
2. Life span ya engine ya gari inapungua.
3. Nafasi ya kuhifadhi mzigo kwenye buti ya gari inapungua kutokana na kuweka hiyo mitungi.
4. Ikiwa idle gari huwa inasumbua kwenye ku-start.
5. Kuna uwezekano wa kutokea ajali ya moto iwapo connection ya mfumo wa gesi haikufanyika vizuri.
 
ni bora kununua gari yenye mifumo miwili iliyotengenezwa straight from kiwandani, nyinyi mnaofurahia hii kitu wait and see! mark my word kuna mtu atakua mfano then na biashara itapigwa marufuku. Nat gas sio kitu cha mzaha that much.
Acha propaganda za kijinga, umeshaambiwa hiyo kitu ni very safe, ma toka waanza kufunga hapa nchini hapajawaji kuwa na incident yeyote.
 
Waagizaji wa mafuta mnapata tabu sana, hizo assumption ni uongo uliotukuka.
 
Acha propaganda za kijinga, umeshaambiwa hiyo kitu ni very safe, ma toka waanza kufunga hapa nchini hapajawaji kuwa na incident yeyote.
mkuu mimi sifanyi propaganda za kijinga and sikusudii kubishana na wewe, best of luck brother!
 
Waagizaji wa mafuta mnapata tabu sana, hizo assumption ni uongo uliotukuka.
Kama nimeuliza ili kupata uhakika juu ya madai hayo yanayotolewa na baadhi ya watu utaniwekaje kwenye kundi la waagizaji wa mafuta wenye kupata taabu sana?
 
Kama nimeuliza ili kupata uhakika juu ya madai hayo yanayotolewa na baadhi ya watu utaniwekaje kwenye kundi la waagizaji wa mafuta wenye kupata taabu sana?
Toa hoja kwanini uhisi hivyo, otherwise ni kutishana bila sababu, ni kama mimi nije halafu nikwambie nahisi hiyo simu yako ni bomu na litalipuka, yaani from nowhere and without basis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…