Tuliofurahia maumivu ya Sabaya ndio tunaomlilia Mbowe na kuiingilia Mahakama

Tuliofurahia maumivu ya Sabaya ndio tunaomlilia Mbowe na kuiingilia Mahakama

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mashtaka ya sabaya na mbowe.usifikiri watu ni wajinga sana wanashindwa kutofautisha kesi za hao watu wawili na matendo yao.
Mmoja ni Gaidi, mwingine ni mnyang'anyi na mtakatishaji fedha kweli tofauti ni kubwa maana kupanga kuua viongozi wa Serikali na kulipua sheli za mafuta sio jambo jepesi inahitaji moyo!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
... anadhani mwenye haki huwa mwovu kwa kuwa tu watawala wamesema ni mwovu! Pamoja na hadaa zote za mwenye haki atabaki mwenye haki.
Ndio mjifunze kuweka akiba ya maneno kuku nyinyi.
 
Usilinganishe jambazi na muunguana wala dhulumati na anayedhulimiwa! Muhimu zaidi usilinganishe Mtu mwenye hekima zake anyepigania haki na kibaka asiyejua mipaka yake, itakuwa Sawa na kulinganisha kifo na usingizi!
Harusi yako na mbowe ni lini?
 
Nimegundua ccm ni mabedui, hivi utawezaje kifurahia UOVU kama wa Sabaya?

Mimi baba yangu akiwa mwovu aina urafiki naye.
Mnajua vyema Mbowe ni innocent anayeswa kisiasa.
Mnajua fika Tundu alionewa lakini mnashangalia.
Maqyuma nyie
Kwanini lisu alikimbia baada ya kushindwa uchaguzi? Ukijibu hili swali ndo majibu ya kesi ya mbowe
 
Hakika siku zinakwenda mbio sana na ,ni siku chache sana zimepita toka lile kundi lililojawa furaha isio kifani baada ya aliekua mkuu wa wilaya ya Hai, Sabaya, kupandishwa mahakamani, tabasamu lilikuwa kama lote na Rais Samia kupongezwa na kuambiwa anaupiga mwingi mno.

Ghafla kibao kimegeuka ,Mama Samia kawa mbaya, na anapewa shutuma kibao na wanaomlilia Mbowe, ambaye anatuhuma za kupanga ,kufadhili ugaidi nchini.

Hakika hakuna aijuae dakika moja ijayo kwenye maisha yetu, utulivu ni jambo jema, tusiwe wepesi wa kufurahia madhila ya wenzetu ikiwa sisi hatuijui kesho yetu.

Mwisho, wahenga walinena "Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu ni mchungu"
 
Attachments

  • 2812307-436371da1e6ec79f3d0cafc73aec4553.mp4
    6.3 MB

Uza ubongo huo dogo maana unakaa nao kwa hasara, hayo mashtaka ya Mbowe yamekuja ili kubalance kesi ya Sabaya? Ana unadhani hatujui tofauti ya haya mashtaka baina yao?
 
Brainwashed mind,yaani gaidi ni nafuu kuliko jambazi,swine

Bado mnaishi kwenye propaganda za kizee?! Amkeni maana kumeshakucha msije mkachafua godoro. Kizazi kimebadalika nyie bado mnatumia mbinu za kina Mahita za karne iliyopita!
 
Sabaya Ameumiza watu wengi hadharani wako wanasema..Nikiona mtu mpuuzi anatetea wenzie kuuwawa nadhangaa sana....unaweza kuwa na utu?? Chama hiki cha CCM sio cha kifashst...Hiki ni chama kizuri cha haki hamna sehemu kinataka wala kutamka mauaji na mateso ...Mijitu mijinga..Inayowaza damu za watu inajificha kwenye kivuli cha chama hiki kuumiza watu..
 
Hakika siku zinakwenda mbio sana na ,ni siku chache sana zimepita toka lile kundi lililojawa furaha isio kifani baada ya aliekua mkuu wa wilaya ya Hai, Sabaya, kupandishwa mahakamani, tabasamu lilikuwa kama lote na Rais Samia kupongezwa na kuambiwa anaupiga mwingi mno.

Ghafla kibao kimegeuka ,Mama Samia kawa mbaya, na anapewa shutuma kibao na wanaomlilia Mbowe, ambaye anatuhuma za kupanga ,kufadhili ugaidi nchini.

Hakika hakuna aijuae dakika moja ijayo kwenye maisha yetu, utulivu ni jambo jema, tusiwe wepesi wa kufurahia madhila ya wenzetu ikiwa sisi hatuijui kesho yetu.

Mwisho, wahenga walinena "Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu ni mchungu"

Waliofurahia Sabaya kupandishwa mahakamani kwa ufedhuli ni hawa hapa:

"Wapenda haki wote, wakiwamo baadhi ya wana CCM na wakiwamo wapinzani wote."

Waliofurahia Mbowe kufikishwa mahakamani kwa kubambikiziwa kesi ni kundi dogo la wanafiki peke yao.

Katika kundi la wanafiki hawa, hata CCM ni wa kuhesabu. Wanaobaki humo ni kina Sirro wanaojaribu kulinda matumbo yao.

Hapo ndipo ilipo tofauti ya kesi ya Sabaya na kesi ya aboubakar Mbowe.

Hivyo si kweli kuwa:

"Tuliofurahia maumivu ya Sabaya ndio tunaomlilia Mbowe na kuiingilia Mahakama"​

Back
Top Bottom