Tuliofurahia maumivu ya Sabaya ndio tunaomlilia Mbowe na kuiingilia Mahakama

Tuliofurahia maumivu ya Sabaya ndio tunaomlilia Mbowe na kuiingilia Mahakama

... kumbe ndio lengo? Kathibitisheni ugaidi wake; hapo ndipo shughuli ilipo!
Kuthibitisha ushahidi kwamba sabaya ni jambazi mlitumia mbinu ya yule bibi wa kichaga,aliyekuwa analia kichaga nje ya mahakama!!!
 
Kuthibitisha ushahidi kwamba sabaya ni jambazi mlitumia mbinu ya yule bibi wa kichaga,aliyekuwa analia kichaga nje ya mahakama!!!
... katika mlolongo mrefu wa mashahidi akiwemo hadi OCD umemwona bibi wa kichaga akilia kichaga! Pole sana.
 
Sabaya Ameumiza watu wengi hadharani wako wanasema..Nikiona mtu mpuuzi anatetea wenzie kuuwawa nadhangaa sana....unaweza kuwa na utu?? Chama hiki cha CCM sio cha kifashst...Hiki ni chama kizuri cha haki hamna sehemu kinataka wala kutamka mauaji na mateso ...Mijitu mijinga..Inayowaza damu za watu inajificha kwenye kivuli cha chama hiki kuumiza watu..
Pia Mbowe kaua watu wengi sana,wakiwemo akina Chacha Wangwe,Mawazo,nk

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
... katika mlolongo mrefu wa mashahidi akiwemo hadi OCD umemwona bibi wa kichaga akilia kichaga! Pole sana.
Kwani kwa mbowe mashahidi hawapo!!

Tukiwaambia sabaya atatoka,mnasema kakoma haya hivyo.sijui kwa mbowe nasisi tuseme hivi???
 
Mamlaka zile zile zilizomkamata Sabaya ndio hizo hizo zimemkamata Mbowe...

Alipokamatwa Sabaya tulisema safi sana akanyee ndoo huyo hapa bila shaka dola ilitenda haki na tunaiamini sasa kakamatwa Mbowe hatuiamini tena dola na hapa hamna haki..
 
Nikuulize swali hili; pale Mlimani Calvary au Golgota walikuwa wamesulubiwa wangapi? Unadhani umati uliokuwa umekusanyika pale ulikusanyika kwa ajili ya nani? Mambo rahisi hivi huelewi, makubwa utaelewa kweli?
Yaani unalinganisha upumbavu wako na mambo ya Golgota?
Kweli Taifa linapoteza uhai.
 
Sabaya
Hakika siku zinakwenda mbio sana na ,ni siku chache sana zimepita toka lile kundi lililojawa furaha isio kifani baada ya aliekua mkuu wa wilaya ya Hai, Sabaya, kupandishwa mahakamani, tabasamu lilikuwa kama lote na Rais Samia kupongezwa na kuambiwa anaupiga mwingi mno.

Ghafla kibao kimegeuka ,Mama Samia kawa mbaya, na anapewa shutuma kibao na wanaomlilia Mbowe, ambaye anatuhuma za kupanga ,kufadhili ugaidi nchini.

Hakika hakuna aijuae dakika moja ijayo kwenye maisha yetu, utulivu ni jambo jema, tusiwe wepesi wa kufurahia madhila ya wenzetu ikiwa sisi hatuijui kesho yetu.

Mwisho, wahenga walinena "Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu ni mchungu"
Sabaya Ni mhalifu mbowe ni mpigania haki kwa kuitaka katiba mpya.
 
Mamlaka zile zile zilizomkamata Sabaya ndio hizo hizo zimemkamata Mbowe...

Alipokamatwa Sabaya tulisema safi sana akanyee ndoo huyo hapa bila shaka dola ilitenda haki na tunaiamini sasa kakamatwa Mbowe hatuiamini tena dola na hapa hamna haki..
Hivi nyinyi majambazi wenzake na Sabaya hamuwezi kidixha ujinga wenu.

Unamlinganishaje kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani,ambaye ametengenezewa mashitaka ya uongo na viongozi wahalifu wa serikali wa aina ya Sabaya,na huyo mhalifu Sabaya.

Sisi,wapenda haki,tunaamini mashitaka ya mbowe yametengenezwa na mataga kwa malengo maovu ya kumdhalilisha mbowe. Na tena tunaamini hata mama Samia hajaruhusu huu uhuni. Muda utatuambia ukweli.
 
Back
Top Bottom