Kuthibitisha ushahidi kwamba sabaya ni jambazi mlitumia mbinu ya yule bibi wa kichaga,aliyekuwa analia kichaga nje ya mahakama!!!... kumbe ndio lengo? Kathibitisheni ugaidi wake; hapo ndipo shughuli ilipo!
... katika mlolongo mrefu wa mashahidi akiwemo hadi OCD umemwona bibi wa kichaga akilia kichaga! Pole sana.Kuthibitisha ushahidi kwamba sabaya ni jambazi mlitumia mbinu ya yule bibi wa kichaga,aliyekuwa analia kichaga nje ya mahakama!!!
Pia Mbowe kaua watu wengi sana,wakiwemo akina Chacha Wangwe,Mawazo,nkSabaya Ameumiza watu wengi hadharani wako wanasema..Nikiona mtu mpuuzi anatetea wenzie kuuwawa nadhangaa sana....unaweza kuwa na utu?? Chama hiki cha CCM sio cha kifashst...Hiki ni chama kizuri cha haki hamna sehemu kinataka wala kutamka mauaji na mateso ...Mijitu mijinga..Inayowaza damu za watu inajificha kwenye kivuli cha chama hiki kuumiza watu..
Pia Mbowe kaua watu wengi sana,wakiwemo akina Chacha Wangwe,Mawazo,nk
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Sawa NabiiMwaka huu msipokufa kwa kihoro basi itakuwa kihoro hakiuwi.
Kwani kwa mbowe mashahidi hawapo!!... katika mlolongo mrefu wa mashahidi akiwemo hadi OCD umemwona bibi wa kichaga akilia kichaga! Pole sana.
Yaani unalinganisha upumbavu wako na mambo ya Golgota?Nikuulize swali hili; pale Mlimani Calvary au Golgota walikuwa wamesulubiwa wangapi? Unadhani umati uliokuwa umekusanyika pale ulikusanyika kwa ajili ya nani? Mambo rahisi hivi huelewi, makubwa utaelewa kweli?
... akili finyu huwezi kuelewa.Yaani unalinganisha upumbavu wako na mambo ya Golgota?
Kweli Taifa linapoteza uhai.
Acha anyooshwe huyo Gaidi wenu,mnafurahia wanapokamatwa wengine lakini akiguswa gaidi mamlaka hazitendi haki,nenda ukamtoe huko aliko,sasa hivi ananyea ndoo tu na ni zamu yake kwenda kumwaga mavi!Message sent and delivered
Mwenye akili kubwa unalinganisha vitu vya halisua na vya kufikirika?... akili finyu huwezi kuelewa.
Acha anyooshwe huyo Gaidi wenu,mnafurahia wanapokamatwa wengine lakini akiguswa gaidi mamlaka hazitendi haki,nenda ukamtoe huko aliko,sasa hivi ananyea ndoo tu na ni zamu yake kwenda kumwaga mavi!
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Amepatikana?Mwulize ben sanane
Sabaya Ni mhalifu mbowe ni mpigania haki kwa kuitaka katiba mpya.Hakika siku zinakwenda mbio sana na ,ni siku chache sana zimepita toka lile kundi lililojawa furaha isio kifani baada ya aliekua mkuu wa wilaya ya Hai, Sabaya, kupandishwa mahakamani, tabasamu lilikuwa kama lote na Rais Samia kupongezwa na kuambiwa anaupiga mwingi mno.
Ghafla kibao kimegeuka ,Mama Samia kawa mbaya, na anapewa shutuma kibao na wanaomlilia Mbowe, ambaye anatuhuma za kupanga ,kufadhili ugaidi nchini.
Hakika hakuna aijuae dakika moja ijayo kwenye maisha yetu, utulivu ni jambo jema, tusiwe wepesi wa kufurahia madhila ya wenzetu ikiwa sisi hatuijui kesho yetu.
Mwisho, wahenga walinena "Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu ni mchungu"
Hivi nyinyi majambazi wenzake na Sabaya hamuwezi kidixha ujinga wenu.Mamlaka zile zile zilizomkamata Sabaya ndio hizo hizo zimemkamata Mbowe...
Alipokamatwa Sabaya tulisema safi sana akanyee ndoo huyo hapa bila shaka dola ilitenda haki na tunaiamini sasa kakamatwa Mbowe hatuiamini tena dola na hapa hamna haki..
Afadhali mimi naolewa kuliko Wewe mjane, tangu March, na majuzi aliye kuwa anakuchepusha kaolewa Kisongo!Harusi yako na mbowe ni lini?