ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kabisa. Baada ya pagale langu kukaa bila kupauliwa kwa miaka 3 mwezi uliopita nimefanikiwa kupaua.Unahamia kibishi ukidhani ndo utamalizia kumbe ndo mazima ndani ya kuta za mbavu za mbwa, vumbi, mijuzi, hakuna paa joto la bati kama loote, hakuna milango ni frame ya gate umejazia makaratasi, n.k, kwa ufupi ni shida mpaka unatamani ungeendelea kupanga
Mijusi maganda ya mayai yapo yatafukuza mkuuUnahamia kibishi ukidhani ndo utamalizia kumbe ndo mazima ndani ya kuta za mbavu za mbwa, vumbi, mijuzi, hakuna paa joto la bati kama loote, hakuna milango ni frame ya gate umejazia makaratasi, n.k, kwa ufupi ni shida mpaka unatamani ungeendelea kupanga
Maganda ya mayai , una ya fanyaje ili kufukuza mijusi ?Mijusi maganda ya mayai yapo yatafukuza mkuu
Hongera zenu wakuuUzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane hapa.
Wengine shida maji wengine umeme na wengine usafiri.vp una solve ishu hizo kuzirahisha.mpewe maua yenu kwako kwako tu.