Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

Kama ulikuwa ndio unaanza, ulilima hekari nyingi sana.. Pole mkuu
 
Wewe tamaa zinakuponza hahahah
 
Kama ulikuwa ndio unaanza, ulilima hekari nyingi sana.. Pole mkuu
Tukipigiwa hesabu wazee wa fursa za PDF hua tunakurupuka sana ili tutoke mapema. Maana unaambiwa ekar 1 unapata faida million 10 kwa kuinvest million 1. Sasa mtu anaona atupie million 10 atusue 100 bila kua na uzoefu na shamba
 
Tukipigiwa hesabu wazee wa fursa za PDF hua tunakurupuka sana ili tutoke mapema. Maana unaambiwa ekar 1 unapata faida million 10 kwa kuinvest million 1. Sasa mtu anaona atupie million 10 atusue 100 bila kua na uzoefu na shamba
Duh! Nashukuru sijawahi kuingia kwa mkumbo wa wazee fursa za kilimo cha Tuma hela ya mbolea
 
Kilimo cha kusikia kwa watu na kufanya kimewaumiza watu wengi sana. Binafsi siamini katika kulima. Bora niwe mnunuzi wa wa mazao ya kilimo
 
Gharama zinafika 800k.. Mavuno gonia 18-20..bei ya gunia elfu 50..faida lak tu..na hapo n kama umetunza vizuri..duuh..hatari
Labda upambane kama masanja ulime, upaki Na usambaze mwenyewe kitaa ingawa bado ni kazi ngumu sana unaweza kukopwa nusu ya mzigo Na unaweza kuongeza gharama zingine za kusambaza nk
 
Kilimo ni kamali kama betting na wala si kama usemavyo nyanya ikiyouzwa tenga sh 2,000 mwezi wa 9.Haijamwagiliwa na mvua. Saiz wanasema nyanya ya march ndo inasoko sasa utaona ukifika march

Mkuu Nyanya March haitouzika? Vp kuhusu Janauary na February 2020?
 
Mkuu Nyanya March haitouzika? Vp kuhusu Janauary na February 2020?
Bei ya Nyanya haitabiriki mkuu kama mchezo wa betting. Juzi nilikua Shamba ingawa mm nalima mazao mengine nikawa napiga story Na wakulima wa nyanya. Wamesema ukitaka kukabiliana na changamoto ya bei lima ekari kuanzia 2 na utofautishe vipindu vya kupanda
 
Yes hakuna Risk bila tamaa.Je unafikiri kama yangeuzika vizuri dar ningepiga kiasi gani?Think
Achana na hayo mambo yange yange inge inge..wewe ndio mchaw wa pesa yako mwenyewe, ukiweza badilika hapo tu ww ni tajiri
 
Huwa naangalia bei za Mahindi pale Kibaigwa jinsi zinavopanda na kushuka kila baada ya ½ saa! Huwa nacheka sana!
 
Kuna mwaka niliweka ndani KARANGA maeneo ya Mpwapwa, niliwekeza 5m! Baada ya miezi 8, nakuja kuiProcess na kuuza! Kutoa gharama zote ikiwemo wabebaji, ushuru wa gate, transport! Shabash! Nlipata faida 350k na mind you storage ilikuwa bure! Km ningelipia storage manake ningeliwa!
 
Mmmh kilimo cha pdf vs kilimo cha field
Teh kaka hapo tatzo halipo ukiondoa issue iliyokupata kwenye tikit, sema kama ulivyosema mshauri shetani. Twende tena kaka, usikate tamaa. Usimamizi na aina ya ulimaji ni jambo la maana sana kuzingatia ili kupunguza gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…