Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

Hahaaaa..hapana ila ni tahadhari tu zimetolewa..kwanza ingia ukiwa na full information kuanzia mwanzo shambani hado sokoni..na njia zote za kumanage risks zitakazojitokeza..kwa ufupi ingia ukiwa na calculated risk..

Kilimo kinalipa

#MaendeleoHayanaChama
Huu uzi hauna future nzuri kwa vijana hasa kwenye tasnia ya kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hekari moja kwa 250,000/- mbona hii gharama ni kubwa sana?! Ulilima kwa mashine na ukaweka mbolea pia?
 
Huu uzi dah niliupenda sana ila hamna mwendelezo ? Sijui watu hawalimi siku izi
 
Halafu kuna pumbavu moja linaitwa Mauki linatuita "wasanii"
 
n6t
 
Mkuu kwa kukadilia ulitumia sh nhp nataka niingie field ekari 3.
 
Nendeni Same kuna kilimo cha mpunga cha umwagiliaji uhakika wa mazao mkubwa na mpunga hauharibiki unaweka stoo unasubiria bei ipande.
Karibuni Mbarali ila huku ujipange kifedha kama unataka mashamba y uhakika kuvuna ata mvua zikisuasua bt kwa mashamba ya kukodi 200k lazima umwombe Mungu ucku na mchana mvua iwe ya wastan
 
Karibuni Mbarali ila huku ujipange kifedha kama unataka mashamba y uhakika kuvuna ata mvua zikisuasua bt kwa mashamba ya kukodi 200k lazima umwombe Mungu ucku na mchana mvua iwe ya wastan
Mkuu upo ubaruku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…