Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Lengo Lako Utukamate Wahamiaji Haramu Sahau Nimezaliwa Kisangani Na Tumehama Huko 1967 mengine siyasemi nisije kurudishwa kisangani bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu uhalisia wa maisha huko ukoje.
kuna offer ya kutembelea huko kama wiki tatu lkn nasita,
Mkuu inategemea na maeneao unataka kwenda wapi? Goma, Bukavu au ? kote huko poa sema uwe mwanaume... usalama kama dar tu , ila iko poa kuliko dar kwa maeneo ya ambianceMleta mada hujaweka mambo ya maana ya kumsaidia mtu anayetaka kwenda huko kwa matembezi au utafutaji
Nilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.
Ila Kinshasa ni mji mzuri na unaweza tembelea baadhi ya maeneo ukadhani ni Ulaya. Maisha bado ni magumu japo hauwezi linganisha na Lubumbashi hali ni mbaya zaidi.
Mji wa Kinshasa una shughuli nyingi sana za kiuchumi na product zao ni nzuri. Mengine siwezi kusema zaidi kwani nilikuwa bizi na kazi zangu.
CC mitale na midimu nzugu nkoyi aha ubhone hado
Goma kuna huyu mtu anajiita Mungu roho mtakatifu na waumini wake humwita baba wa Ubembe ana wafuasi huwezi amini.Kabila ana kazi kuna mabwana wa vita,miungu nk na yote ina wafuasi
Huko sijawahi kwendaKuna ukweli wowote kuwa north kivu kuna dhahabu za kutoshaa....nshawahi sikia beni kuna soko la dhahab watu wanauza kwny vikombe,ila vita yake ya huko ni hatari....hasa sehemu za machimbo
Mji uko bize sana na watu ni wengi sanaKinsasha niliipenda sana sana watu kule hawalali
Goma kuna huyu mtu anajiita Mungu roho mtakatifu na waumini wake humwita baba wa Ubembe ana wafuasi huwezi amini.Kabila ana kazi kuna mabwana wa vita,miungu nk na yote ina wafuasi
Boot wataipata kwa uchumi upi?Acha dharau Gan boot zinavaliwa kwakuwa mazingira ya kule misitu mingi kuna maji sana.sikatai na unaweza kuvaa Gan boot hata wiki hujaivua usiku na mchana
Hahahaaamkuu
lugha gani hii?