Tulioishi au kufika DR Congo , Goma, Bukavu, Lubumbashi, nk tukutane hapa

Tulioishi au kufika DR Congo , Goma, Bukavu, Lubumbashi, nk tukutane hapa

Lengo Lako Utukamate Wahamiaji Haramu Sahau Nimezaliwa Kisangani Na Tumehama Huko 1967 mengine siyasemi nisije kurudishwa kisangani bure
 
mkuu uhalisia wa maisha huko ukoje.
kuna offer ya kutembelea huko kama wiki tatu lkn nasita,

Congo inatengemea na maeneo, Kinshasa, Lubumbashi, na maeneo ya mbali na mashariki kuna amani kabisa mbali na haya maadamano ya kumg'oa Kabila, otherwise Congo tamu sana ndugu yangu, nimeishi Goma, mission hii nitaikumbuka daima hata leo nikipata position narudi kule
 
Huku kiumeni!Hapa penyewe nipo Beni na dakika km 8 zilizopita machine zilikuwa zinaimba tu!Watoto wa kichagga huku siyo kwao.
Nimeishi Beni , nazikumbuka clubs za pale, ila machine nje nje
 
Mleta mada hujaweka mambo ya maana ya kumsaidia mtu anayetaka kwenda huko kwa matembezi au utafutaji
Mkuu inategemea na maeneao unataka kwenda wapi? Goma, Bukavu au ? kote huko poa sema uwe mwanaume... usalama kama dar tu , ila iko poa kuliko dar kwa maeneo ya ambiance
 
Nilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.

Ila Kinshasa ni mji mzuri na unaweza tembelea baadhi ya maeneo ukadhani ni Ulaya. Maisha bado ni magumu japo hauwezi linganisha na Lubumbashi hali ni mbaya zaidi.

Mji wa Kinshasa una shughuli nyingi sana za kiuchumi na product zao ni nzuri. Mengine siwezi kusema zaidi kwani nilikuwa bizi na kazi zangu.

CC mitale na midimu nzugu nkoyi aha ubhone hado

Kinsasha niliipenda sana sana watu kule hawalali
 
Goma kuna huyu mtu anajiita Mungu roho mtakatifu na waumini wake humwita baba wa Ubembe ana wafuasi huwezi amini.Kabila ana kazi kuna mabwana wa vita,miungu nk na yote ina wafuasi


Ukivaa au katumia nguo za kijani lazima ufanikiwe ila ukianza kuvaa za njano tu bhc it's must to collapse!
 
Kuna ukweli wowote kuwa north kivu kuna dhahabu za kutoshaa....nshawahi sikia beni kuna soko la dhahab watu wanauza kwny vikombe,ila vita yake ya huko ni hatari....hasa sehemu za machimbo
Huko sijawahi kwenda
 
Njoo natakaka nijue juu ya mji gani iko na machimbo mengi ya madini na haiko na vurugu au vita?
 
Goma kuna huyu mtu anajiita Mungu roho mtakatifu na waumini wake humwita baba wa Ubembe ana wafuasi huwezi amini.Kabila ana kazi kuna mabwana wa vita,miungu nk na yote ina wafuasi


Hahahahahahahha, AFRICA tuna safar ndefu sana ktk hiii dunia
 
Back
Top Bottom