Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
mkuu uhalisia wa maisha huko ukoje.
kuna offer ya kutembelea huko kama wiki tatu lkn nasita,
Mkuu inategemea na maeneao unataka kwenda wapi? Goma, Bukavu au ? kote huko poa sema uwe mwanaume... usalama kama dar tu , ila iko poa kuliko dar kwa maeneo ya ambianceMleta mada hujaweka mambo ya maana ya kumsaidia mtu anayetaka kwenda huko kwa matembezi au utafutaji
Nilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.
Ila Kinshasa ni mji mzuri na unaweza tembelea baadhi ya maeneo ukadhani ni Ulaya. Maisha bado ni magumu japo hauwezi linganisha na Lubumbashi hali ni mbaya zaidi.
Mji wa Kinshasa una shughuli nyingi sana za kiuchumi na product zao ni nzuri. Mengine siwezi kusema zaidi kwani nilikuwa bizi na kazi zangu.
CC mitale na midimu nzugu nkoyi aha ubhone hado
Ukivaa au katumia nguo za kijani lazima ufanikiwe ila ukianza kuvaa za njano tu bhc it's must to collapse!Goma kuna huyu mtu anajiita Mungu roho mtakatifu na waumini wake humwita baba wa Ubembe ana wafuasi huwezi amini.Kabila ana kazi kuna mabwana wa vita,miungu nk na yote ina wafuasi
Huko sijawahi kwendaKuna ukweli wowote kuwa north kivu kuna dhahabu za kutoshaa....nshawahi sikia beni kuna soko la dhahab watu wanauza kwny vikombe,ila vita yake ya huko ni hatari....hasa sehemu za machimbo
Mji uko bize sana na watu ni wengi sanaKinsasha niliipenda sana sana watu kule hawalali
Hahahahahahahha, AFRICA tuna safar ndefu sana ktk hiii duniaGoma kuna huyu mtu anajiita Mungu roho mtakatifu na waumini wake humwita baba wa Ubembe ana wafuasi huwezi amini.Kabila ana kazi kuna mabwana wa vita,miungu nk na yote ina wafuasi
Boot wataipata kwa uchumi upi?Acha dharau Gan boot zinavaliwa kwakuwa mazingira ya kule misitu mingi kuna maji sana.sikatai na unaweza kuvaa Gan boot hata wiki hujaivua usiku na mchana
Hahahaaamkuu
lugha gani hii?