Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

Kilabu cha kwa mama Chame,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bas kama ni hato unayosema bas Dodoma ilikuwa kijiji aiseeee
Mana hata ukiamua kutembea ungetumia dakika 30 tu

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa Dodoma mwaka 1991 nakumbuka Wimpy kwenye juice na something jamboree
 

Duuh Mkuu mwl Kikanya na Isaka. Ndo walikuwa wababe wa twisheni mjini.
 

Gwasa acha. Kulikuwa na kila ovu kule. Hapo wana wa mazengo complex wkend debe NK jelojelo.
 
Kilabu cha kwa mama Chame,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha umenikumbusha mtoto wa mama chame akiitwa Paul na pacha wake nani sjui. Kwa sasa watakuwa vijana watu wazima
 
Nimetembea Mikoa yote Tanzania,nimehitimisha hamna Mikoa ya hovyo Tanzania kama Dodoma,Shinyanga,Singida na Lindi-ukiitoa mji Nachingwea.
Hiyo Nachingwea ina nini au kuwa na kambivya Jeshi Tuu,?

Dodoma unazungmziw wilaya hipi?
Shinyanga ipi wewe unainzungmzia

Umefika Kahama au Tinde au shinyanga mjini?

Singida ipi unaizungumzia,umefika manyoni au Singida mjini?
Shida yako unaushamba wa Tabata na Sinza
 
Nimecheka kwa sauti kwenye daladala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninapita hapa isakalilo shule ya msingi kwenu kwenye matuta ila mnanyumba zuri sana
Shemeji yako mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…