Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Kwa yale mapango ni halali. Siku ya kwanza kufika nilishindwa njia ya kutokea. Nilienda mapango saba.Mitaa hatari ya kukabwa hadi mchana.. Igogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa yale mapango ni halali. Siku ya kwanza kufika nilishindwa njia ya kutokea. Nilienda mapango saba.Mitaa hatari ya kukabwa hadi mchana.. Igogo
Ndio. Ìla kuhu ile biashara yao sìjui kama bado ipoHivi mtaa wa makoroboi bado upo
Hv Bot bado inabamba?Capricabana ya juzi wewe Club ilikuaga magnum bot na deluxe aisee enzi hizo kina papa Mgosi wanatamba
Bila kuwasahau magorofani camp. Fita ni fita muraEnzi za juma chid na manyilizu watoto wa sahara,huku kuna mapimpili watoto wa kitangiri na kilimahewa,juma chid alifungwa butimba alimchoma mtu kisu sijui kesi yake iliishia wapi,hotpot mitaa ya bwiru imeshajifia kweli wakati ni ukuta
Juma chid hakufungwa alikamatwa akachezea kipigo na wazee wa ncha kali,alifia sekouture.Enzi za juma chid na manyilizu watoto wa sahara,huku kuna mapimpili watoto wa kitangiri na kilimahewa,juma chid alifungwa butimba alimchoma mtu kisu sijui kesi yake iliishia wapi,hotpot mitaa ya bwiru imeshajifia kweli wakati ni ukuta
Tilapia mpaka leo bado inasumbua enzi hizo english medium inayovuma ni nyakahojaSiku magnum hotel inafunguliwa nilikuwepo pale. Mzee matata (mmiliki) alikuwa mpole sana pamoja na mkewe. Yule mama kama yuko hai Mungu amlinde sana, ni mojakati ya familia chache ambazo baba na mama wote wana upendo mwingi. Siku hiyo haya housegirl hakujuliknaa maana wote walikuwa wamewekwa level sawa.
Bila kusahau hotel tilapia nayo ilikuwa hatari faya
Wajanja wote tulisoma mwanza/pamba sec na begi zetu za Jansport mgongoni.!
Kiss FM ilikimbiza nchi nzima kwa kuwa vipindi bora vya redio ikiwa na watagazaji mahiri wa kiganda kama Tobby The Splash, Bush baby.!
Siku ya jumapili tena delux hapo mchana waitMIAKA YA 90 BEACH ILIKUA BOMBAY BEACH SIO TUNZA, HOTEL KALI ILIKUA TILAPIA, MAGOMA ILIKUA DELUX TENA LA MCHANA NDIO KULIKUA KUNA WATOTO WAZURI WAZURI.
enzi hizo startv na maigizo yao ya mwanza kila siku wanakuja kitaani nyamanoro kuigizaWajanja wote tulisoma mwanza/pamba sec na begi zetu za Jansport mgongoni.!
Kiss FM ilikimbiza nchi nzima kwa kuwa vipindi bora vya redio ikiwa na watagazaji mahiri wa kiganda kama Tobby The Splash, Bush baby.!
Balaaa mvua ikinyesha pale nje hapapitiki kuna siku tunaenda club nikateleza kwenye utelezi biashara ikaishia hapoMagnum daah designer wa ile club mbinguni atapasikia, unaingia club kama unaingia kwenye handaki, ndani taa zimefifiiiiaaa halafu pana rangi nyeusi dadeki yani unaweza jikuta umepanda juu ya vichwa vya watu ukaishia kurushiwa ngumi.
Watoto wa pamba sec na ticha wetu majani kala sana buku mbili mbili zetu kwa kutupeleka capricabana kidogo tu ticha kishaandaa "bugi"
Those time 💕❤️ life was vere kwakeli
Dolphin saloon unaikumbuka?Siku ya jumapili tena delux hapo mchana wait
enzi hizo startv na maigizo yao ya mwanza kila siku wanakuja kitaani nyamanoro kuigiza
Magnum daah designer wa ile club mbinguni atapasikia, unaingia club kama unaingia kwenye handaki, ndani taa zimefifiiiiaaa halafu pana rangi nyeusi dadeki yani unaweza jikuta umepanda juu ya vichwa vya watu ukaishia kurushiwa ngumi.
Watoto wa pamba sec na ticha wetu majani kala sana buku mbili mbili zetu kwa kutupeleka capricabana kidogo tu ticha kishaandaa "bugi"
Those time 💕❤️ life was vere kwakeli
Majani alikua sio tilalila sana kama best ake wa hesabu ticha mabimbi 😂😂😂 mabimbi alikua chapombe sana na yule wa physics nimesahau kina aligongwa na gari akafariki masikini akiwa katoka kupiga vyomboticha majani 🤣🤣umenikumbusha asee lakini aliniokoa sana practical za physics adi kufika hapa na yeye alichangia tatizo lake kuu ni pombe na kula wanafunzi wa kike.
Rock beach tulikuwa tunaenda sana kutazama mashindano ya miss mwanza na miss lake zone enzi zile ukienda kununua vitu imalaseko supermarket unajiona wakishua sanawanafunzi wajanja waweza kuwa shule uliyosomea wewe Maana kila mtu hudhani ni mjanja, kwangu mimi kwa miaka hiyo shule mashuhuri za sekondari zilikuwa ni lake, pamba ,Mwanza ,Taqwa na na Buswelu hasa ikichagizwa na mashindano ya michezo ya Rotary Club.
Kanda za muziki kwa upande wangu nilikuwa nanunua duka la FM karibu na Mwanza Hotel muuzaji akiwa gardiner Habash na mkewe wa kwanza kama sikosei hotel maarufu kwa upande wangu ilikuwa Tilapia na baada ye ya Magige akajenga Lock Beach kabla ya siasa kumfanya aipoteze enzi za Mkapa kulikopelekea achanganyikiwe na baadaye kupoteza maisha.
sahihi kabisa Igogo ni Waha na wanyamwezi hawa vijana miaka ile walikua wakizamia sana usiku kwenye mabehewa kuiba sukari na mizigo mingine depo za Igogo pale.Waha-kigoma