Tulioishi Mwanza miaka ya 1990 mpaka 2000 tukutane hapa tujikumbushe

Tulioishi Mwanza miaka ya 1990 mpaka 2000 tukutane hapa tujikumbushe

Pale ilipojengwa Rock city Mall, zilikuwa ni Quarters maarufu kama Ghana Quarter,tumekula sana miwa humo, wanafunzi wa Mwenge, Kitangiri na Makongoro.
 
Pale ilipojengwa Rock city Mall, zilikuwa ni Quarters maarufu kama Ghana Quarter,tumekula sana miwa humo, wanafunzi wa Mwenge, Kitangiri na Makongoro.
Ulikuwa unaiahi wapi
 
I gogo ushashini kelele za wagonga makarai cjui bado wapo! Kulikua na Mama ntilie maarufu sana anaitwa Mama Sina Mzee Makaranga duh! Igogo ya miaka iyo mwizi akikamatwa ni kiberiti
Ongezea na Kwa mwana mwanza Kwa wauza Nazi jirani na Kwa madundo ukisogea kidogo Kuna Mzee oke ukivuka pale Kuna malago sogea Kwa juu Kuna samamba wa samamba hapo juu kidogo Kuna Mzee makoli Huku chini Kuna Mzee jurai na maburuki hii ndio igogo ya wakatiule
 
Siku magnum hotel inafunguliwa nilikuwepo pale. Mzee matata (mmiliki) alikuwa mpole sana pamoja na mkewe. Yule mama kama yuko hai Mungu amlinde sana, ni mojakati ya familia chache ambazo baba na mama wote wana upendo mwingi. Siku hiyo haya housegirl hakujuliknaa maana wote walikuwa wamewekwa level sawa.

Bila kusahau hotel tilapia nayo ilikuwa hatari faya
Tivoli disco take
 
Miaka ile Mwanza ilikuwa na raha zake

Beach lazima uende tunza beach ndio ya kishua.

Club zilikuwa deluxe na capricabana ndio za kishua hasa ambapo unakutana na kina dj cutter kidboy huku watoto wa kiswazi wakikutana pale magnum.

Tape music za nje tulikuwa tunanunua pale boom explosion. Hoteli nzuri ya kupunga upepo ilikuwa ni rock beach ambayo mashindano ya umiss yote yalikuwa yanafanyika pale.

Mzee wa punk style alikuwa ndio bishoo mwanza yote. Wanafunzi wajanja wote walikuwa pamba
Nashangaa mitaa ya mabatini haijatajwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yamebadilika leo kona ya bwiru na viunga vyake ndio sehemu yenye bata sana.
 
Back
Top Bottom