Tulioishi Mwanza miaka ya 1990 mpaka 2000 tukutane hapa tujikumbushe

Pale ilipojengwa Rock city Mall, zilikuwa ni Quarters maarufu kama Ghana Quarter,tumekula sana miwa humo, wanafunzi wa Mwenge, Kitangiri na Makongoro.
 
Pale ilipojengwa Rock city Mall, zilikuwa ni Quarters maarufu kama Ghana Quarter,tumekula sana miwa humo, wanafunzi wa Mwenge, Kitangiri na Makongoro.
Ulikuwa unaiahi wapi
 
I gogo ushashini kelele za wagonga makarai cjui bado wapo! Kulikua na Mama ntilie maarufu sana anaitwa Mama Sina Mzee Makaranga duh! Igogo ya miaka iyo mwizi akikamatwa ni kiberiti
Ongezea na Kwa mwana mwanza Kwa wauza Nazi jirani na Kwa madundo ukisogea kidogo Kuna Mzee oke ukivuka pale Kuna malago sogea Kwa juu Kuna samamba wa samamba hapo juu kidogo Kuna Mzee makoli Huku chini Kuna Mzee jurai na maburuki hii ndio igogo ya wakatiule
 
Tivoli disco take
 
Nashangaa mitaa ya mabatini haijatajwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yamebadilika leo kona ya bwiru na viunga vyake ndio sehemu yenye bata sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…