Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Wewe umefika chuo kikuu liniMkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umefika chuo kikuu liniMkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
hapa hapa mkuu!Na sisi ambao hatujaenda shule kabisa tuna comment wp mkuu?
Hahahaa watakutambua mkuuTuliofika form Four na Kupata MABASHITE masomo yote yaani FA FA FA FA FA FA FA FA FA tutambuane.
Chuo kikuu kuna ngazi mbali mbali, kuna degree , kuna masters , kuna post graduate nk..Tulioishia chuo yaani hatukumaliza ila chuo tumegusa, au unamaanisha tuliomaliza chuo naku graduate kabisa?
Sawa mimi nimeishia la tatuConcetrate na mada mezani mkuu!
Changanya tu na sisi wa memkwa mkuu, yawezekana nasi siku moja tukafika chuo kikuu kama nyie!Mkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Muache uongo!JF bora Uzima watu wa humu waongo sana
Sijaelewa swali lako. Yaani nimefika kukanyaga ardhi ya pale au nimesoma chuo kikuu lini?Wewe umefika chuo kikuu lini
Pole sana mkuuSi wengine maisha yali tulazimisha kuishia hapo
🤣 tupambane tu, chuo sio big deal sana!Kama uliferi form two gonga like twende sawa, yote maisha. Maisha bora sio kwa wasomi tu..
We wa Chuo kikuu pita tu hapa sarasa LA saba na chini yajeMkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
ahahahaaSijaelewa swali lako. Yaani nimefika kukanyaga ardhi ya pale au nimesoma chuo kikuu lini?
Ndiyo maana nilisema mapema tuelekezwe tucoment wapi sisi ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu. Nami napenda kuwatia moyo ipo siku na nyie mtaenda kusoma CHUO KIKUUChanganya tu na sisi wa memkwa mkuu, yawezekana nasi siku moja tukafika chuo kikuu kama nyie!
🤣😂jf bana
hahaaa Mkuu umetisha!Aliyeishia darasa la tano huwa anaandika kwa staili hii hapa..
TUJUHANE TULIYOKUWA NA ELIMU YA DALASA LA SABA..
Mkuu tusilaaniane!🤣😂jf bana
Kumbe jamaa anatuchora na kutusanifu?!
Mungu atamuadhibu
Hizo zee zee zao project tunaqafanyia sisi wa mtaani ndio wanapata hivyo vi digili ukiwapeleka kazini weupeee hawajui kaziNawatamani sana watu waliofika chuo na vingereza uchwara vyao..
Ze zee zee laifuu and u know nyiiingii
Hapana hata darasani huwa wanapangwa wanaojiweza zaidi kimasomo na wasiojiweza sana.We wa Chuo kikuu pita tu hapa sarasa LA saba na chini yaje
sana mkuuSawa mimi nimeishia la tatu
Wewe nakuonea gere Mimi hata vidudu sikuenda na maisha yananigonga hasa cc cariha , Raynavero ShunieSi kila mmoja wetu amefanikiwa kufikia level kubwa ya Elimu wengine tuliishia Shule ya Msingi!
Binafsi mimi Nimeishia darasa la 5, baada ya kujikuta sipendi shule wala kusoma.. nikaona haina umuhimu.. Nikaamua Kujiunga na Veta na Maisha yanasonga!
Vipi wewe umekutana na hali kama hii ukaamua kuishia S/Msingi? na unafanya nini sasa!
Santana