Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
KWanini kiongozi..?Kweli usimavyo wewe mtu hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWanini kiongozi..?Kweli usimavyo wewe mtu hatari sana
Nifanye nilisiti aiseeBoom kitu gani ? Raha tuu kusoma chuo kikuu.
Nimeitwa msosi kwanza.KWanini kiongozi..?
Hee tuzichanganye na zenu!??? Labda haujanielewa, namaanisha sisi wenye DEGREE na kuendelea mbele haujaandaa special room kwa ajili ya comments zetu?ahahaha aisee hapa hapa!
Hapana elimu yenu itashuka thamani.Nasisi wenye Phd zetu tunaruhusiwa hata kufungua uzi huu?
Kweli kabisa!! Upitie material home, usome hadi ufike chuoNifanye nilisiti aisee
Aliyeishia darasa la tano huwa anaandika kwa staili hii hapa..Si kila mmoja wetu amefanikiwa kufikia level kubwa ya Elimu wengine tuliishia Shule ya Msingi!
Binafsi mimi Nimeishia darasa la 5, baada ya kujikuta sipendi shule wala kusoma.. nikaona haina umuhimu.. Nikaamua Kujiunga na Veta na Maisha yanasonga!
Vipi wewe umekutana na hali kama hii ukaamua kuishia S/Msingi? na unafanya nini sasa!
Santana
JustNimeitwa msosi kwanza.
Umejuaje kama nipo kama sipo? ntalikuta jibu nakula kwanza
Nitafaidika nini nikisoma chuo?.?Kweli kabisa!! Upitie material home, usome hadi ufike chuo
Nawatamani sana watu waliofika chuo na vingereza uchwara vyao..
Ze zee zee laifuu and u know nyiiingii
Utaacha kuwatamani maana nawe utakuwa miongoni mwao .Nitafaidika nini nikisoma chuo?.?
I meant nawamind, wananiudhi...Utaacha kuwatamani maana nawe utakuwa miongoni mwao .
Tulioishia chuo yaani hatukumaliza ila chuo tumegusa, au unamaanisha tuliomaliza chuo naku graduate kabisa?Mkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Faida zake haziandikiki kwa kiswahili ni hadi kingereza[emoji23][emoji23][emoji23]I meant nawamind, wananiudhi...
Nitapata nini nikifika chuoni?
Umekosea kidogo tu!Sawa Dotworld
Concetrate na mada mezani mkuu!