Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Si kila mmoja wetu amefanikiwa kufikia level kubwa ya Elimu wengine tuliishia Shule ya Msingi!

Binafsi mimi Nimeishia darasa la 5, baada ya kujikuta sipendi shule wala kusoma.. nikaona haina umuhimu.. Nikaamua Kujiunga na Veta na Maisha yanasonga!

Vipi wewe umekutana na hali kama hii ukaamua kuishia S/Msingi? na unafanya nini sasa!

Santana
Aliyeishia darasa la tano huwa anaandika kwa staili hii hapa..
TUJUHANE TULIYOKUWA NA ELIMU YA DALASA LA SABA..
 
Mkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Tulioishia chuo yaani hatukumaliza ila chuo tumegusa, au unamaanisha tuliomaliza chuo naku graduate kabisa?
 
Back
Top Bottom