Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Mkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Changanya tu na sisi wa memkwa mkuu, yawezekana nasi siku moja tukafika chuo kikuu kama nyie!
 
Sijaelewa swali lako. Yaani nimefika kukanyaga ardhi ya pale au nimesoma chuo kikuu lini?
Ndiyo maana nilisema mapema tuelekezwe tucoment wapi sisi ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ahahahaa
 
Nawatamani sana watu waliofika chuo na vingereza uchwara vyao..
Ze zee zee laifuu and u know nyiiingii
Hizo zee zee zao project tunaqafanyia sisi wa mtaani ndio wanapata hivyo vi digili ukiwapeleka kazini weupeee hawajui kazi
 
We wa Chuo kikuu pita tu hapa sarasa LA saba na chini yaje
Hapana hata darasani huwa wanapangwa wanaojiweza zaidi kimasomo na wasiojiweza sana.
Uli wale wasiojiweza wajifunze kwa wanaojiweza.
Sasa la saba wakibaki wenyewe watajifunza nini?
Acha niwa motivate ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe nakuonea gere Mimi hata vidudu sikuenda na maisha yananigonga hasa cc cariha , Raynavero Shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…