😂hata hao wanaokwambia ni la saba ujue wanaigiza kusogeza muda.Jamani wapendwa ni utani tuu tucheke siku ziende.
Msichukulie serious!!!!
Usiku mwema [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
Nami naanza kuchora utumbo!Hahaha wanataka niandike kama Heading ya Bandiko inavyosema!
Jamani wapendwa ni utani tuu tucheke siku ziende.
Msichukulie serious!!!!
Usiku mwema [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
🤣🤣nyie cheche sana hamna lolote!
Njooni mtaani tuwafundishe!
Umeelewa usijitoe ufahamu...
hadija hanampnd mwarim wak[emoji15] [emoji15] [emoji15] View attachment 887946
Raha ya JF Jifanye hujui halafu unawachekii kwa mbaliii kama JPMNami naanza kuchora utumbo!
natumahi nitapat kazKaribuni field kwangu wa darasa LA saba maisha yanasonga,familia iko vizuri sikuumiza kichwa kuiba mtihani
🤣🤣🤣🤣halafu unacheka hiiiiiiiiiiiiRaha ya JF Jifanye hujui halafu unawachekii kwa mbaliii kama JPM
humehongea hukweri lafiki, huku mutaani hawawez maish, wamesoea fya dezoHawa wenye vyeti vya chuo kikuu ndiyo wale wanajivunia vyeti lakini kwenye jamii ukimuuliza amefanya nini hana jibu zaidi ya kukuambia nina bachelor of ...,yani hawana impact kwenye jamii zaidi ya kujivunia na nina cheti ....kumuuliza mbona huna kazi utasika serikali hawajatangaza ajira yani uwezo wa kuwaza nje ya box hana zaidi ya kujivunia degree yake
pore lafik wew kidog hafadhar humefik sikondarNa sisi Tulioishia form 3 na wazazi wakachemka Ada na bado tunaishi maisha ya Chuo kikuu vp!? Na sisi Comment zetu wapi? Tuweke
Karibu MKUU ila ukubali kuongozwa na darasa LA saba tukijiita wenyewe LYnatumahi nitapat kaz
Hahahaa yaani Ngai ngai, Jino kwa Jino.. ID fake, real content ya nini??🤣🤣🤣🤣halafu unacheka hiiiiiiiiiiii
Burudani sana jf. Fake ID raha sana!
hasant lafik mim nimeishia dalasa ra tanKaribu MKUU ila ukubali kuongozwa na darasa LA saba tukijiita wenyewe LY
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]hadija hanampnd mwarim wak
We ni mwenzetu tu uzii huu unakufaaNa sisi Tulioishia form 3 na wazazi wakachemka Ada na bado tunaishi maisha ya Chuo kikuu vp!? Na sisi Comment zetu wapi? Tuweke