mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
😂hata hao wanaokwambia ni la saba ujue wanaigiza kusogeza muda.Jamani wapendwa ni utani tuu tucheke siku ziende.
Msichukulie serious!!!!
Usiku mwema [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]