Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Jamani wapendwa ni utani tuu tucheke siku ziende.
Msichukulie serious!!!!

Usiku mwema [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
😂hata hao wanaokwambia ni la saba ujue wanaigiza kusogeza muda.
 
Karibuni field kwangu wa darasa LA saba maisha yanasonga,familia iko vizuri sikuumiza kichwa kuiba mtihani
 
Hawa wenye vyeti vya chuo kikuu ndiyo wale wanajivunia vyeti lakini kwenye jamii ukimuuliza amefanya nini hana jibu zaidi ya kukuambia nina bachelor of ...,yani hawana impact kwenye jamii zaidi ya kujivunia na nina cheti ....kumuuliza mbona huna kazi utasika serikali hawajatangaza ajira yani uwezo wa kuwaza nje ya box hana zaidi ya kujivunia degree yake
 
Na sisi Tulioishia form 3 na wazazi wakachemka Ada na bado tunaishi maisha ya Chuo kikuu vp!? Na sisi Comment zetu wapi? Tuweke
 
Hawa wenye vyeti vya chuo kikuu ndiyo wale wanajivunia vyeti lakini kwenye jamii ukimuuliza amefanya nini hana jibu zaidi ya kukuambia nina bachelor of ...,yani hawana impact kwenye jamii zaidi ya kujivunia na nina cheti ....kumuuliza mbona huna kazi utasika serikali hawajatangaza ajira yani uwezo wa kuwaza nje ya box hana zaidi ya kujivunia degree yake
humehongea hukweri lafiki, huku mutaani hawawez maish, wamesoea fya dezo
 
Back
Top Bottom