Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
This is JFMkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is JFMkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Habali za asubui laynavero, sisi uku atujambo,tunasubiliha misimu ya muvua.Wengime hatujasoma kabisaaa
laynavelo hamexhalal xaivHabali za asubui laynavero, sisi uku atujambo,tunasubiliha misimu ya muvua.
Nani anifunze?Pole mkuu jifunze kazi za mikono
Memkwa ndiyo kobeTi mkuu awu?Changanya tu na sisi wa memkwa mkuu, yawezekana nasi siku moja tukafika chuo kikuu kama nyie!
Wewe unauliza kama nani?? Fala tuu !!Umeambiwa walioishia shule ya msingi sasa mambo ya chuo kikuu yanahusika Vp?! Au nyege zinakusumbua bibie
😂😂😂✌️Wewe unauliza kama nani?? Fala tuu !!
Kaliwe jicho maana naona unawashwa.
Shwain
Na ndiyo waleta maendeleo kwenye jamii,tazama jimbo lake,hapa wanasakwa akina Msukuma
Upo kwenye group la saba ila la saba cWengime hatujasoma kabisaaa
Kazi za jamii sisi la saba ni hodari sananipo hapa nauza vitumbua na kubeba mizigo ya abiria
Mi mzima kabisaa..Mimi Niko nachoma vitumbua hapa!Habali za asubui laynavero, sisi uku atujambo,tunasubiliha misimu ya muvua.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]laynavelo hamexhalal xaiv
[emoji2] [emoji2] mi Niko saba D!!Upo kwenye group la saba ila la saba c
Huku mfukoni mutupu!Nawatamani sana watu waliofika chuo na vingereza uchwara vyao..
Ze zee zee laifuu and u know nyiiingii
Inabidi tutumie nguvu zetu tu ndio mtaji tulionaoKazi za jamii sisi la saba ni hodari sana
Hahahaha karibu sana mtu wangu[emoji2] [emoji2] mi Niko saba D!!
Busted! Ni mkebehi huyu!