Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Msihuzunike kwani waliosoma degree,masters,phd hawana la maana vichwani mwao zaidi wamekariri mawazo ya marehemu kama vile plato,adam smith,jerome brunner na wengineo..
 
Those were the good times. Yani kama ulisoma chuo alaf hukuweza kula good time mtu utakua uli miss a lot. Masomo yalikua hayaendi nikijua nna pesa kwenye account, natumia mpaka zibak za matumiz kidogo kidogo ndio nakaa vzur sasa nisome. Nimemiss sanaa.
Utasomaje ukiwa na hela uelewe mkuu?
Mpaka ziishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi ilikuwa mpaka ziishe ndiyo narudi chuo mpolee kama nimenyeshew na mvua.
 
Siyo dhambi lakini je alitumia vigezo gani kusema ninazo?
Publius of Syrus (Ancient Rome slave) once said "Multiply your Acts of Kindness, and you teach the recipient to return them!"
 
Publius of Syrus (Ancient Rome slave) once said "Multiply your Acts of Kindness, and you teach the recipient to return them!"
People experience and express their anger in a lot of different ways. Some yell, scream, swear, or insult others ( kama alivyofanya). Obviously, the way to respond to different anger expressions will differ kwangu niliona nirespond namna ile.
 
Vyeti vimekusaidia lakini au na wewe umeajiriwa na la saba

Hahahhaa, kwa kweli vimenisaidia sana. Ingawa kuajiriwa hakijawah kuwa kipaumbele changu nna mda mfupi tu na resign nifanye mambo yangu binafsi huko ndiko kuna ishu.
 
Utasomaje ukiwa na hela uelewe mkuu?
Mpaka ziishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi ilikuwa mpaka ziishe ndiyo narudi chuo mpolee kama nimenyeshew na mvua.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yani ukiishiwa unajulikana tu maana kama lectures ulikua unadoji, ukiishiwa tu unakuwa muudhuriaji mzur tena unakaa viti vya mbele kabisa.
 
Back
Top Bottom