Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

Asante Paskali.

Tulikuwa tunatafuta uhalali, tumeupata.

Apumzike tu, maumivu yataisha with time.
 
Kwanini hakwenda mama best president mama yetu mzuri mama JPM? Maana yeye ndie currently former first lady
amegoma upuuzi huo amechoka na mausumbufu ya MEKO wacha ajipumzikie mama wa watu.
 
Hahaha Mlango ufunguliwe tu hata kwa kutobowa paa kama Kuingilia MLANGONI Imeshindikana......

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kati ya A5 na A4 nani ali faa ahudhurie? Salma Kikwete au Janet Magufuli?
Unatakiwa sasa uamini ya kwamba yule Mheshimiwa amrejea nyumbani kwa kupitia mlango wa uani!

Hujiulizi tu kwenye siku yake ya kuzaliwa hapo juzi jinsi vyombo vya habari vilivyompa promo! Hivi usikute kuna watu wapo kama picha tu kwenye nafasi zao.
 
Eti kujadili Afya ya Mama,
Hivi siku ya Afya ya Akili ilukuwa lini vile? 😂
 
Binafsi huyooo First Gentlemen sijawahi kumuona kwenye picha....
Subiri niingie google then naja na majibu sahihi
 
Binafsi huyooo First Gentlemen sijawahi kumuona kwenye picha....
Subiri niingie google then naja na majibu sahihi
Yupo,sema huwa hampendi watch hundred.huwa anaona aibu kuongozana nae.
 
Hapana, mimi niko Burundi kuitikia ule wito wa "hamieni Burundi".
P
Wewe ndugu yangu Paskali Mayalla acha kumsagia kunguni Dr.Mwigulu Nchemba kwani usichokijua ni sawa na usiku wa giza!
Ujue upfront kuwa jibu lile la Dr.Mwigulu lilitokana na swali la Farmiah Middle wa ITV kuwa Mhe.Waziri mbona Burundi wanafanya ....., Ndo Waziri akajibu vile, lakini kwa ustadi mkubwa waka- edit na kum- brand Dr.Mwigulu vibaya sana!
 
Kuna ajira hapo naona umezipendekeza ila umesahau kuwa unaongeza mzigo wa gharama kwa wananchi.

Kwanini hayo mapesa yasielekezwe kwenye kuwaajiri vijana toka familia za wasio jiweza??
 
Kwa hiyo Mwigulu alikua sawa kujibu vile?
Ukiambiwa ule mavi , utakula?
 
Kwanini hakwenda mama best president mama yetu mzuri mama JPM? Maana yeye ndie currently former first lady
Salma ni mbunge na kaalikwa sasa aende Janet kama nani?

Kama hajishighulishi na siasa unategemea nani amuweke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…